Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Mkuu elimu yetu IPO shallow sana kuhusiana na mambo ya HIV,Kuna vitu vingi havipo sawa;Ili mtu kuambukuzwa Kuna factors zake ambazo zinaweza kupunguza au kuongeza risk;
Huna taarifa kama huyo dada amaathirika,na yeye anaweza akawa na assumption kama yako.
Kuna watu watu wanaishi kwenye ndoa na wenza wenye HIV na bado ni wazima
≥ kumwandaa mwanamke vyema kunapunguza risk
≥ kama mwathirika anatumia ARVs hupunguza risk ya maambuizi Kwa wengine ,viral load hupunguza
≥kuna kiwango Cha viral load kinahitajika Kwa maambuizi kutokea

≥kama hukumlawiti huyo mwanamke SI ishu sana risk inapungua
≥kama hukuchubuka kwenye uume stili huna haja ya kuhofu.
≥ SI binadamu wote wanaweza kuambukuzwa vvu
≥Ukipima ndio njia pekee ya kuonesha kwamba umeathirika au laa

≥woga ni mbaya kuliko hata vvu
≥jirani yetu aliyekuwa na vvu alikufa after 27 years huyu alitumia dawa,wengine walikuwa Kwa kipindu pindu,malaria,kisukari na pressure≥
≥all in all Mungu ndio anayejua hatma ya mtu,Kuna watoto walikuwa pindi tuu unazaliwa,hata Sasa bado wewe ni mzima,kama hujafa bado Mungu anakaxi na wewe.
≥kulala na mwathirika mara moja hakukufanyi uwe mwathirika ,vinginevyo waafrika tungeisha.
≥mimi ninayekuandikia nilikuwa mhuni na mlevi niliyekubuhu,nishalala na mademu Malaya wote wanafika hata buku,wanasema hata wanangoma na still Sina ngoma.
≥kama umetahiriwa riski ya vvu inapungua.
≥gono sio vvu
≥hata kama una HIV,SI lazima iwe ni huyo mgeni huenda ni huyo demu wako
≥usimwamini mtu usiyemjua,ila usiache kufanya wema hata baada ya Hilo.
≥hakuna lisilowezekana chini ya jua ni swala la vile unaamini,Kila kitu kinatibika,na Kila problem inasolution yake.
≥ukiendelea kuogopa kitakachokuua ni wasiwasi wako.
≥hata huyo dada naye anaishi Kwa Nini wewe uone mwisho?
≥after all utakufa,mimi nitakufa,huyo dada atakufa jamii forum members,hakuna kinachodumu mile Le ni swala la muda tuu,ukitaka kuishi milele mfuate Yesu.
≥hata kama hujaambukizwa vvu Kuna siku utakufa ,huu ni ukweli ambao upo na Wala hupati wasi wasi .
≥rudia kusoma nilichokiandika Kuna kitu utagundua
 
Pole sana FORTUNE JR huo ndio uamamume sasa!...

Halafu, kuwa na ngoma sio MWISHO wa maisha... Wenye ngoma wanaishi maisha mazuri mno kuliko wenye sukari...

Cha muhimu ikifika wa kati wa kutumia zire karanga ... Zingatia.

Mwenye ngoma anakula takataka zote nzuri za anasa... Na anaendelea kudunda...

Ila kisukari, kansa, BP... Kuliko uugue hayo magonjwa... Ni mara mia upate Ngoma!
 
Mtaje tu ili tusije kuivagaa miwaya kama ulivyoikwaa wewe
 
Asante sana mkuu, hakika umenijenga
 
Huyu kashaivagaa hapo mana kila nikiselula kwenye micriscobic factuate naona kabisa cambriyo haiwez pata virus infection wa aina ya UTI kama hakuna chembe zozote za wadudu wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…