Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Pole sana mkuu , hizi moment ni mbaya mbaya kuliko unaweza kukuta unyong'onyea mpaka unaishi. Kaza roho kiume liwalo na liwe lazima tuishi zile siku tumepangiwa kuishi

Unaweza ukaamka mzima na ukaisha barabarani jina likabadilika pamoja na afya nzuri iliyokuwa nayo
 
Pole sana, subiri baada ya miezi mitatu ukapime
Kila la kheri mkuu

Ila ndo uache kuchovya chovya bila kinga
Amenichekesha hapa👇👇👇

Baada ya siku kama 4 hivi kupita nikawa najisikia maumivu wakati wa kukojoa na finally naona usaa unanitoka, nikajua tayari, muda wa mavuno ya tamaa zangu umefika, nikaenda zangu hospital.
 

Umeyatimba mwanangu!!! Ukishaona manzi ana tatoo kaa nae mbali..... Polee kwa magono, ishi kama utaishi milele acha mawazo endelea na maisha yako!!! Ukipima umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…