Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Tatizo ndio umesema Hana akili au tatizo Nini Sasa?
Yani sisi tumeachana mara nyingi tumerudiana mara nyingi sikunyingine mm namtafuta na mara nyingine yeye ila kwa ninavyoona mambo ni kama naforce tu ila sioni mwisho hicho ndo kinaniuma
Niliamini mengi sana nilikwepa wanawake wengi sana sababu nina mwonekano ila yote ni kujilisha upepo
 
Mapenzi yanasumbua sana jamani, haswa kwa kipindi hichi.
 
Start to love your face on the mirror....

Just do that every morning and evenings perhaps
 
Hapo mdogo wangu unachochea matatizo ya afya yako ya akili...Usiforce Mambo,likuepukalo Lina heri nawe.....Muache aendelee na Maisha yake duniani Kuna a lot of varieties Ni suala la muda tu.......usipate sonona usiku ukose usingizi kwa ajili ya mtu asiyejali maumivu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…