Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Tatizo ndio umesema Hana akili au tatizo Nini Sasa?
Yani sisi tumeachana mara nyingi tumerudiana mara nyingi sikunyingine mm namtafuta na mara nyingine yeye ila kwa ninavyoona mambo ni kama naforce tu ila sioni mwisho hicho ndo kinaniuma
Niliamini mengi sana nilikwepa wanawake wengi sana sababu nina mwonekano ila yote ni kujilisha upepo
 
Mapenzi yanasumbua sana jamani, haswa kwa kipindi hichi.
 
Hahahah ngoja nianze na kicheko unafki hivi wanaonijua hua naandikaga pumba et?

Anyway sikuumbiwa mapenzi ninayotamani yote hufa
I hate love, ila sina jinsi najua napoteza ila sina namna nahitaji muda sana

Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani furaha yangu ni ndogo tu 20% tena kwa muda ila huzuni ni nyingi
Sijui kwanini Mungu aliniweka huku

I hateeeeeeeee my heart, nachukia mapenzi, nachukia upendo, nachukia wanawake

Ila Nakupenda sana, siwezi jidanganya
Start to love your face on the mirror....

Just do that every morning and evenings perhaps
 
Yani sisi tumeachana mara nyingi tumerudiana mara nyingi sikunyingine mm namtafuta na mara nyingine yeye ila kwa ninavyoona mambo ni kama naforce tu ila sioni mwisho hicho ndo kinaniuma
Niliamini mengi sana nilikwepa wanawake wengi sana sababu nina mwonekano ila yote ni kujilisha upepo
Hapo mdogo wangu unachochea matatizo ya afya yako ya akili...Usiforce Mambo,likuepukalo Lina heri nawe.....Muache aendelee na Maisha yake duniani Kuna a lot of varieties Ni suala la muda tu.......usipate sonona usiku ukose usingizi kwa ajili ya mtu asiyejali maumivu yako
 
Back
Top Bottom