Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Jipende wewe kwanza kama wewe alafu huyo mwingine mpe nafasi ya pili...
Nitajaribu ila mm hua nampa mtu nafasi kabla yangu, najitoa
Kwaiyo saivi upo una lia adi kamasi
Hapana mkuu hapo c nitakuwa demu sifa ya mwanaume ni kufa na dukuduku ila sio kulitoa jichoni
mkuu kusema kweli sina cha kukushauri mi mwenyewe mhanga wa mapenzi 😂
😂😂😂 Dogo unafeli wewe huo ublack maniga umekusaidia nini?
Mapenzi yanasumbua sana jamani, haswa kwa kipindi hichi.
😂 Wewe ni genye ndio zinazopita kwenye akili zenu?
Hivi mnazitiaga wapi maana mm czipati?
 
Mwanangu! We mwananchi eh?
 
mapenzi ni kama kubet mkuu😂mi nshaacha ndo ivo nikipata mbunye mara mojamoja, mambo yanakaa swafi😂
 
Nimeliweka akilini na nitaanza lichukulia funzo ambalo nimeshindwa for more 4+ yrs
 
""inshort mwanamke kwenye mapenz ni kama plain paper""" yaani hapo ndi patamu hapo [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] sasa kama mii poor brain alafu ndo nijaze akili yake kitatokea nni hapo
Hahaha wanawake wakikupenda huwa wanapokea chochote unachowapa kwenye akili yao...yaan akili yake unaingoza wewe yeye anabaki anatumia hisia tu.[emoji23]
 
Jitahidi ku move on yaani hii ni dawa tosha kwenye mahusiano ambayo yapo dilemma, yaani kuna kipindi lazima mahusiano yayumbe na hapo unakuta mmoja mapenzi yamepungua au yameisha kabisa basii balaa ndio huwa linaanza hapo
Sasa mfano me nita move on mpaka wapi..
Yaani katika hatua za mwanzo tu unakutana na mambo ya ajabu na move on.. naendelea ku move on.... Mwisho wake wapi...?
 
Kwenye maisha yangu sijawahi chukia mtu
anza kujifunza sasa utakuja mshukuru huyo mdau aliyekushauri hivyo. chuki imegawanyika kwa nyanja tofauti. tafuta sababu ya yale maovu aliyokutendea.
tofauti na hapo utakuwa mtumwa wake miaka yote. hata ukimpenda mwingine utashindwa kumjali kwa kumwaza huyo ex wako.

lakini nahisi wewe ni kijana mdogo mbana pua hivi nwenye sauti nyembamba yaani kamwanaume flani hivi kaoga kasicho jiamini. kikimkosa huyo mtoto ndo basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…