GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa Kunyumbulika kutokana na Mazingira aliyonayo na kutokubali Watu Kumsifia Kiholela
4. Awe na Hisia ya Sita (Sixth Sense) Kiasili ambayo anayo Mbwa iliyo na Faida sana kwa wana Usalama
5. Mwenye Maadili ya Kuzaliwa nayo na yale ya Kufundishwa na Wazazi, Walimu na wana Jamii
6. Mtu mwenye Uroho wa kujua mambo mbalimbali ya Dunia (hasa ya Kitaarifa) na Kujifunza kwa haraka
7. Awe na Afya Njema ambayo itamuweka Fiti Kimajukumu hata Akistaafu na akiwa na Miaka 85
Tafadhali zingatia hapo neno Barani Afrika sasa Wewe Jipekenye na Kuwashwawashwa Kwako umaanishe unavyojua au unavyohisi Wewe kisha Uyakoge.