Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Si kweli, Wadachi pia ni wachapakazi wazuri sana na waaminifu ila wengi si Ma-CEO duniani, hoja ya uliyemnukuu ni sahihi kabisa 100%.Kuna ukweli fulani lakini hiyo sio sababu kabisa, wahindi ni watiifu kwenye kazi zao nasi nidhamu ya juu kwenye kazi zao hasa za mahotelini, wewe kama umebahatika kusafiri Dubai tu hebu chukulia wale wahudumu wakihindi wanavyokupokea na hawa kina Juma wa kwetu. Ukitaka hotel yako ife weka wa TZ customer care zerooooooo.
Huyo hua ana chuki ya udini tu na ndio kilichomsukuma kuandika hivyo japo ukweli anaujua.Sitaki kuharibu uzi wa Watu, ila waarabu wengi wapo successfull kibiashara kuliko wahindi.
Pia Tofautisha management na biashara ni vitu tofauti, wahindi ni managers wazuri na sio risk takers.
Nakupa mfano. Mhindi ana kiwanda cha chuma, basi ata Tengeneza supply chain ya wahindi wenzake kuanzia Wholesale chanell mpaka reja reja maduka ya wahindi kkoo. Hio ni management nzuri.
Waarabu ni risk takers, unakuta mtu one man army anaweza toka Arabuni wakaenda Africa ama hata South America huko baada ya Miaka kadhaa tayari ni Bilionea.
Ukumbuke Arabuni hakulimwi sana wala hakuna Dhahabu na almasi huko watu wana survive kwa Biashara tu. Kuna Nchi zina import hadi maji ya kunywa.
Ila wanapambana sana boss na wanaijua hela sanaWahindi ni overrated sana
Ni waaminifu na pia wana elimu kubwaNi muunganiko wa sababu zifuatazo;
1.Cheap labor : Muhindi anajipikia. Dola mia, bajeti ya mwezi anajaza friji vyakula na pilipili za kutosha,unampangia NHC. bajeti kama hiyo expert wa kizungu matumizi ya kula weekend na pombe kali,atataka kupangiwa hotel nyota 5 n.k .
2.Experience: India ina watu bilioni na kidogo, automatic anakuwa kashasolve case nyingi kwa kujitolea (field) kwenye eneo husika iwe accounting,marketing, engineering, n.k .Point hii inawapa kipaumbele dhidi ya mtaalam kama huyo kutoka Africa, toka amalize chuo huenda hataki hata field ya kujitolea.
3. Team work: Wahindi wanaheshimu maagano.Mfano wamechanga mtaji watu wanne ,wamekubaliana watagawana baada ya miaka 10, ni kumi kweli. Wabongo mwaka wa pili,account zikisoma tarakimu 8 hadi 10, mnaanza mzozo mgawane kila mtu afe na chake. Makampuni endelevu kama Bakhresa au Dongote ,yanapenda mtu ajifunge (commitment) kwa muda mrefu ili aweze kurithisha ujuzi pole pole kwa kizazi kijacho kwenye fani husika.
Hayo kwa uchache, japo wana mapungufu yao.
Wabongo wengi uvumilivu 0Ni muunganiko wa sababu zifuatazo;

Sisi weusi ok; but sio weusi wa usimba na uyanga.wahindi wako makini na wanachokifanya, hawana utani wala masihara kwenye biashara. nazani hata sisi weusi tukiwaiga kwa hilo tutafika mbali sana.
Fact. Mtu mweusi ukimpa nafasi kama hii anawaza ngono tu hadi ofisini (baltazar). Muhindi linapokuja swala la kazi yupo serious kinoma, hawez changanya upuuzi wowote kwenye issue ya kazi.Hawana mambo mengi ya Kando Kando, mtu anaenda ofisini, akitoka nyumbani, akizidi sana katoka out na familia yake that's it, kuna viwanda vya MO wanajengewa hadi Hostel humo humo, mtu anatoka juu anashuka chini anafanya kazi akimaliza anarudi juu.
Ukiwa na Kampuni na una long term projects unahitaji watu wa namna hii, not necessarily smart people ila watu ambao wataka na project bila kubadili badili.
Sifa kuu za Wahindi (Kanjibai);Zanzibar ndo kigezo kikubwa sana cha mameneja wa mahoteli ya nyota 3+. Yani wanaandika kabisa nafas hii ya meneja ni lazima atokee Asia. Hawa jamaa kwenye kuleta faida kwenye kampuni wako vizuri sana mana wanapumguza matumizi ya kampuni kwa kuminya wafanyakazi.
Niliwh kufanya kazi kisiwa kimoja hiv unguja huko, meneja wa ile kisiwa pale alikuwa muhindi. Staff house zipo ila mazingira yalikuwa mabovu sana, watu tulikuwa tunajisaidia ufukweni mana choo kiliharibika. Hela za kukitengeneza tu hazikutoka miez 5 mzee.. muhindi bajeti ya maintenance unaweza wewe mfanyakaz kutoa hela yako mfukoni
Wahindi wehu sana. Na ule uwehu wao ndo unaleta faida kwemye kampuni. Siri kuu ya utajiri ni kuminya watu wa chini (maskini), mazingira ya kazi yakiwa magum sana kwa mfanyakazi ndo faida inakuwa kubwa kwa kampuni. Hili wahindi wanaliweza kwelikweli
🤣 Trump ndo huwa anayatoa makavu hasaDuniani kuna classes:
1. Wazungu - sayansi, ugunduzi
3. Wahindi - Biashara
Waarabu, waafrika Botha na Trump wameshasema sitii neno,
Nawe unaamini kabisa kuwa Trump aliwahi kusema yale maneno?🤣 Trump ndo huwa anayatoa makavu hasa
Kwahiyo na wewe umekubali kabisa zile takataka zilizozushwa mitandaoni? Trump na Botha hawakuwahi kusema maneno yale. Fuatilieni mambo.Waarabu, waafrika Botha na Trump wameshasema sitii neno,
Wahindi wanachotuzidi waafrika ni wakabila kupitilizaIla wanapambana sana boss na wanaijua hela sana
Imagine kutoka petrol station moja local mpaka branch 6200 kwenye nchi 10 duniani
Nawajua wengi sana hapa UK ambao wako vizuri sana na mpaka rafiki zangu
Tajiri #1 hapa ni mdosi
Ila wanapambana sana boss na wanaijua hela sana
Imagine kutoka petrol station moja local mpaka branch 6200 kwenye nchi 10 duniani
Nawajua wengi sana hapa UK ambao wako vizuri sana na mpaka rafiki zangu
Tajiri #1 hapa ni mdosi
UAMINIFUNaomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Mkuu Wahindi ni cheap labour ndiyo maana Kwenyd kampuni nyingi wapo kwenye sekta ya Fedha, tofauti na Wazungu wanapenda raha awajazoea kujibana na Umasikini.Zanzibar ndo kigezo kikubwa sana cha mameneja wa mahoteli ya nyota 3+. Yani wanaandika kabisa nafas hii ya meneja ni lazima atokee Asia. Hawa jamaa kwenye kuleta faida kwenye kampuni wako vizuri sana mana wanapumguza matumizi ya kampuni kwa kuminya wafanyakazi.
Niliwh kufanya kazi kisiwa kimoja hiv unguja huko, meneja wa ile kisiwa pale alikuwa muhindi. Staff house zipo ila mazingira yalikuwa mabovu sana, watu tulikuwa tunajisaidia ufukweni mana choo kiliharibika. Hela za kukitengeneza tu hazikutoka miez 5 mzee.. muhindi bajeti ya maintenance unaweza wewe mfanyakaz kutoa hela yako mfukoni
Wahindi wehu sana. Na ule uwehu wao ndo unaleta faida kwemye kampuni. Siri kuu ya utajiri ni kuminya watu wa chini (maskini), mazingira ya kazi yakiwa magum sana kwa mfanyakazi ndo faida inakuwa kubwa kwa kampuni. Hili wahindi wanaliweza kwelikweli
Duu! Mfanyakazi aminywe, Kampuni ipate faida. Hii sifa si nzuri.Zanzibar ndo kigezo kikubwa sana cha mameneja wa mahoteli ya nyota 3+. Yani wanaandika kabisa nafas hii ya meneja ni lazima atokee Asia. Hawa jamaa kwenye kuleta faida kwenye kampuni wako vizuri sana mana wanapumguza matumizi ya kampuni kwa kuminya wafanyakazi.