Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

Hii Kweli kabisa aisee 👊👊
 
Mmoja wa wafanyakazi wa Amazon,...aliwahi sema , ukiingia kwenye kampuni ya Amazon kama muajiriwa, unakabidhiwa vitu kama meza, kabati , kiti n.k ...sasa kikiharibika chochote, hapo ni JUU YAKO, haijalishi ulipewa miaka mingapi iliyopita,.....
 

Kwenye hayo makampuni makubwa linapokuja suala la kuajiri MD hawaangalii kitu kinaitwa cheap labour mkuu.
Wanachojali ni ufanisi wa kazi tu
Hao ma MD wa kihindi wanaoendesha kampuni huko silcon valley wanalipwa mishahara mikubwa sana kulipo hata baadhi ya ma md wazungu.
 
wahindi wako makini na wanachokifanya, hawana utani wala masihara kwenye biashara. nazani hata sisi weusi tukiwaiga kwa hilo tutafika mbali sana.
Wanatengenezaga sphere flani hiv makazini ni noma, hata mlinzi getini akijamba wao taarifa wanazo. Wanapandikiza machawa kati yenu na wanafitinisha wafanyakazi sana.. yani muhindi hakuachi hata dakika sifuri upumue mana kula kichwa chako wewe haoni hasara.
Duu! Mfanyakazi aminywe, Kampuni ipate faida. Hii sifa si nzuri.
Masaa ya kazi kuwa mengi, mzigo wa kazi za watu wawili anapewa mtu mmoja na mengine mengi. Zunguka uone mkuu
 
Nimepitia maoini mengi. Kuna kitu hakijaelezwa. Muhindi alishajiweka na kukubali kuwa mtumwa wa mzungu , mwarabu na mchina hawakubali hicho kitu. Muhindi ni middle man, ameisha jihalalishia hio nafasi. Hivyo kampuni za wazungu zinawaweka kwa sababu hakuna madhara makubwa ya ku leak tech knowhow and comp secret
Mchina tayari ana mind set ya ujasiliamali na umiliki, hataki suala la kutumikishwa na mzungu miaka yote.
Wachina wengi waliopewa nafasi kuw CEO au workers baadae walienda anzisha kampuni zao zikitoa huduma ile ile ila muhi di atahamia kampuni nyingine akaendelee kutumika.
Wazungu hawawaamini wachina kabisa ila inawabidi tu kwa shingo upande kwa sababu wachina ni smart na intelligent kuliko wahindi.
Wachina wanataka wawe nao sehemu ya umiliki.
Muhindi akienda USA nk hakumbuki kurudi kwao wakati wachina mguu ndani mguu nje.
Mwarabu hajihusishi sana na teknolojia kazi yake ni kuinunua kwa sababu pesa anazo. Vile vile mwarabu ananua hisa hana mda wa kuwa boss hata ujuzi hana.

Mwafrika haeleweki wala haaaminiki ispokuwa wachache sana. Mwafrka hajaonesha ukomavu wowote kwenye leadership na innovation hivyo apewe Kuwa CEO kwa CV ipi ? Wazungu hawapendi kubeti.
Jambo la mwisho mzungu hamuamini mzungu mwenzake, mda wowote ana hisi anaweza mzidi ujanjaakaanzishe kampuni yake.
Tech na buashara ni mchezo fulani unachezwa kwa akili.
Black man is a looser.
 
Wahindi wangekuwa wa maana wasingekuwa wanakimbilia nchi za wengine...

Linganisha India, China na USA, ni very rare kwa Mchina kutamani maisha ya nje
India wako zaidi ya 1b leo
Kama kukimbilia nchi za watu ndio kutoboa basi waafrika na sisi tungekuwa katika matajiri wakubwa au hata viwanda kuwa navyo

Mkuu wachina hawa wanaouza maua kariakoo?
Ila wahindi labda Uarabuni ndio utakuta wanafanya kazi za ndani
Ila Africa wanakuja na kufanya biashara kubwa hata Ulaya pia
Sio wote matajiri Ila wanajielewa sana na hilo sio kwa mahaba kwani sina hata uhusiano nao
 
Wahindi wanachotuzidi waafrika ni wakabila kupitiliza
Ila wanaangalia maslahi yao sana na ni wssiri sana
Wao wenyewe wanachukiana na kubaguana sana kwa matabaka

Ukiwa mhindi na wanao wamesoma kamwe hawaolewi na familia duni
Na wanashindana sana kwa maendeleo sio kama sisi tunashindana kurogana na maendeleo sifuri
 
uzi ufungwe,....naona umejibu vyema

Mwafrika ni zero,...
 
uzi ufungwe,....naona umejibu vyema

Mwafrika ni zero,...
Sio zero. Bado tunajifunza. Wahindi wametoka mbali hata kabla ya mkoloni tayari walikuwa wanataifa. Mwafrika ana ugonjwa wa kisaikolojia ipo siku atapona. Akili tunazo ila hatuna dira. Mwafrika hata akigundua kitu anamuuuzia mzungu, yeye hajiamini.
Unaona Dangote ameweza kupenya mbele ya warabu wahindi na wazungu ambao ndio mabwanyenye.Tukiamua tunaweza.
 
Aisee! Tunaendelea kujifunza.
 
Karibu mtu mmoja katika kila watano duniani ni muhindi au ana asili ya India.

Ukiwaweka wahindi katika dunia ya watu wanaoongea Kiingereza, asilimia hiyo inapanda zaidi.

Pia India iliweka mpango mkakati wa kuelinisha watu wake kwenye mambo ya teknolojia juanzia miaka ya 1950, walijipanga kabisa kutaka kutawala ulimwengu wa teknolojia, wakaanzisha vyuo kama IIT. IIT (India Institute of Technology) imeanzishwa May 1950, miaka 74 iliyopita. Hili si jambo lililotokea kwa ajali tu.
 
Mengi yamesemwa, but duniani, population ya wahindi kwa India pekee ni 1.4 bil, sasa kwa ujumla ni wengi sana, so hata katika kazi watakuwa wengi na wanazingatia kazi na elimu na hawana mambo mengi
Population ya Afrika ni ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…