Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
-
- #61
Je mpaka lini? Lakini sisi waAfrika tuna shida mahali ukitaka ukijua sie tuna shida waangalie tunao ishi je wapo tayari kujifunza na sie tuwe top top CEOs?Sio zero. Bado tunajifunza. Wahindi wametoka mbali hata kabla ya mkoloni tayari walikuwa wanataifa. Mwafrika ana ugonjwa wa kisaikolojia ipo siku atapona. Akili tunazo ila hatuna dira. Mwafrika hata akigundua kitu anamuuuzia mzungu, yeye hajiamini.
Unaona Dangote ameweza kupenya mbele ya warabu wahindi na wazungu ambao ndio mabwanyenye.Tukiamua tunaweza.
Kuna stage itabidi tupitie.Je mpaka lini? Lakini sisi waAfrika tuna shida mahali ukitaka ukijua sie tuna shida waangalie tunao ishi je wapo tayari kujifunza na sie tuwe top top CEOs?
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee
Wahindi wanajua kufanya management hasa hawatanii hiyo ni nature yao.. ni kama tunavyowasifia wachaga wakikuyu au wakika kwenye biashara.
We kama ulishasoma management chuo lazima ulisoma vitabu vya Gupta a father of management.
Hawana lolote zaidi ya kupunguza gharama kwa kuminya wafanyakazi kupitia malipowahindi wako makini na wanachokifanya, hawana utani wala masihara kwenye biashara. nazani hata sisi weusi tukiwaiga kwa hilo tutafika mbali sana.
Wahindi wenyewe wa India wanalalamika sana kwa nini China inawaacha wakati hatua za ukuaji wote walianza sawa hata ukiangalia Global fortune 500 China anaongoza akifuatia na U.S India mbali huko.Nimepitia maoini mengi. Kuna kitu hakijaelezwa. Muhindi alishajiweka na kukubali kuwa mtumwa wa mzungu , mwarabu na mchina hawakubali hicho kitu. Muhindi ni middle man, ameisha jihalalishia hio nafasi. Hivyo kampuni za wazungu zinawaweka kwa sababu hakuna madhara makubwa ya ku leak tech knowhow and comp secret
Mchina tayari ana mind set ya ujasiliamali na umiliki, hataki suala la kutumikishwa na mzungu miaka yote.
Wachina wengi waliopewa nafasi kuw CEO au workers baadae walienda anzisha kampuni zao zikitoa huduma ile ile ila muhi di atahamia kampuni nyingine akaendelee kutumika.
Wazungu hawawaamini wachina kabisa ila inawabidi tu kwa shingo upande kwa sababu wachina ni smart na intelligent kuliko wahindi.
Wachina wanataka wawe nao sehemu ya umiliki.
Muhindi akienda USA nk hakumbuki kurudi kwao wakati wachina mguu ndani mguu nje.
Mwarabu hajihusishi sana na teknolojia kazi yake ni kuinunua kwa sababu pesa anazo. Vile vile mwarabu ananua hisa hana mda wa kuwa boss hata ujuzi hana.
Mwafrika haeleweki wala haaaminiki ispokuwa wachache sana. Mwafrka hajaonesha ukomavu wowote kwenye leadership na innovation hivyo apewe Kuwa CEO kwa CV ipi ? Wazungu hawapendi kubeti.
Jambo la mwisho mzungu hamuamini mzungu mwenzake, mda wowote ana hisi anaweza mzidi ujanjaakaanzishe kampuni yake.
Tech na buashara ni mchezo fulani unachezwa kwa akili.
Black man is a looser.
Naaaaahhh. India ni masikini wa kutupwa, na sehemu kubwa ya nchi yao ina mazingira hovyo kuliko Tanzania.Katika kitu CCM imewakosea sana Watanzania ni kuwapa elimu ya kuombea maji ya kunywa. Hao wahindi na waasia mifumo Yao ya elimu inawaandaa strategically
Sababu ni moja tu. India ina population kubwa over 1 billion people na wengi wamesioma na kuhitimu vizuri bila ajira sababu taifa lao ni masikini, hivyo competition ni kubwa sana kitu kinachofanya wawe cheap na over qualified simultaneously kwenye field nyingi sana hasa Technology.
Simple as that.
Except wahindi wengi ni smart.Hawana mambo mengi ya Kando Kando, mtu anaenda ofisini, akitoka nyumbani, akizidi sana katoka out na familia yake that's it, kuna viwanda vya MO wanajengewa hadi Hostel humo humo, mtu anatoka juu anashuka chini anafanya kazi akimaliza anarudi juu.
Ukiwa na Kampuni na una long term projects unahitaji watu wa namna hii, not necessarily smart people ila watu ambao wataka na project bila kubadili badili.
Hunger is their main motivator.Their strong focus on education and work ethic,
Entrepreneurial spirit culture adaptability stem education degrees,and commitment to diversity.
Wahindi biashara? Ushawahi sikia mtu anaitwa Steve Jobs? Bill Gates? Elon Musk? Au unadhani sio wafanya biashara hao?Duniani kuna classes:
1. Wazungu - sayansi, ugunduzi
3. Wahindi - Biashara
Waarabu, waafrika Botha na Trump wameshasema sitii neno,
Hao matajiri sababu ya u genius wao kwenye mambo ya computer na internet siyo wafanya biashara. Unamjua mgunduzi wa Microsoft?Wahindi biashara? Ushawahi sikia mtu anaitwa Steve Jobs? Bill Gates? Elon Musk? Au unadhani sio wafanya biashara hao?
Population ya Africa ni over a billion of pure illiterates. You can't compare.Population ya Afrika ni ngapi?
Kuwa Manager not necessarily uwe smart, ukiwa chuo masomo ya biashara hili swali huulizwa sana tofauti baina ya Leader na manager.Except wahindi wengi ni smart.
Myahudi huyuhuyu anaye ishi kwa pesa za US? kamuajiri nani? Wewe umeajiriwa na myahudi sasa hivi?Na wayahudi wako wangapi mpaka watutengenezee miundombinu ya kutuajiri sisi wote?
Simjui.Hao matajiri sababu ya u genius wao kwenye mambo ya computer na internet siyo wafanya biashara. Unamjua mgunduzi wa Microsoft?
Tanzania tuna successfull entrepreneur kushinda Kenya, tunaishi maisha mazuri kuliko wao. kuajiriwa nje ya nchi sio sifa bali ni kufeli kwa Serikali, unafikiri Nchi kubwa zinajisifia raia wake kuajiriwa Nchi nyengine?they have built that. We also can build. East Africa, Kenya imeanza kuwa labor supplier wa powerful economies sababu wanaaminika na wanaonekana wamesoma.
Sisi tumelundikana pamoja kama mchele. Deal zetu ni kuiba kwenye tender na kudhulumu watu. Tunasubiria nani afe ili tupande vyeo.
Tumeishiwa maarifa kiasi cha kwamba tumesahau dunia nzima kuna skills hazina watu wa kutosha. Tunaweza kuzifanya.
Philipines iliweza. Tukiamua kuamka kutoka kwenye huu usingizi na kuacha ujinga pia tutaweza. Sisi wote hatuwezi kuwa waajiriwa wa serikali. Tuko wengi sana kuliko nafasi zilizopo.
Tubadilike tena haraka sana
Nikifanikiwa kuianzisha kampuni ya maana, lazima hawa watu wawepo kwenye menejimenti ya kampuni zangu:Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee
Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi wamedominate sana Aisee sijui Siri yao nini? Wakuu najiuliza sana hili swali na sipati jibu na Afrika, Marekani na sehemu nyingine wame dominate bwana aisee