Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Halafu kuna pimbi itakuja kuandika hapa ati "wanaume wote tutaenda mbinguni!!"

Mi nitaongoza mstari we kwenda motoni maana akili zetu tunazijua wenyewe.
Ah hh tupo pamoja asee kama samaki na maji
 

Duuh ubinadamu kazi sana..! Mke wa jamaa yangu aliaga kwa mumeo kuwa anaenda kumhudumia dada yake amejifungua. Huenda ndio kwa huyu jamaa. Daah kazi ipo, we jamaa huenda ushawala tayari kmmk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh asante mwaya
Tamaa yako tu huna lolote , shemeji zako wameolewa sasa jichanganye kisha wakukatalie aibu utakayopata mpaka mkeo atakushangaa unaanzaje kutamani shemeji zako, mzinzi mkubwa weee!
 
Rangi ya mtume kwa waana ni waarabu?
 
Sitamsaliti mke wangu daima, japo haniamini na ananituhumu kila siku! Mungu ananisaidia, na sina hofu mana sitendi ubaya.....acha kumcheat shemeji kama chuma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mliooa mana kazi sana, unawezaje kuishi na uyo kiumbe, bila kumkinai
 
kuna mtu anaenda kuchepuka na mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…