Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

mliooa mana kazi sana, unawezaje kuishi na uyo kiumbe, bila kumkinai
Mkuu ndoa ni ibada, inafika kipindi kweli mnachokana, hapo mnaomba Mungu awasimamie na kurudsha upendo kati yenu,,but kwangu mim dawa NYINGINE ni kuoa mtoto mzuri, so mpaka nicheat asee umpite wife uzuri na akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naliona lengo sasa la uzi huu,ila hutaki kuingia moja kwa moja.
 
sasa ww hapo umelenga nn juu ya uzi wako hunawataka mashemeji zako au unahisi kuwa nao muda wote wakuudumie kama mkeo na pia ujatoa sababu za msingi hapa unaleta mboyoyo mingi na kwere zako nying unataka nn hasa kwa hao mashemeji zako fara ww
 
Mueleze mkeo unachokikosa kwake na unachokipata kutoka kwa dada zake.
 
Neno ningejua huja bada ya safari.
Kila la kheri mkuu na upuuzi wako
 
Nadhani mke wako ndiyo huyo mwenye nyeupe , halafu ukiangalia ndugu waliomzunguka ni hatari mnoooooo
Na huyo wa pili kushoto ndiyo wa moshi nini mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • bandugu.jpg
    27.9 KB · Views: 2
Over at your neighbors garden the grass is always greener...

a) Kuna mkuu keshakuambia, wanakutreat vizuri kwa sababu ya maneno anayokusemea mkeo kwao. Mkeo ana picha nzuri ya kwako na hiyo ndio anayoionesha kwao. (This proves beyond doubt she is a good wife).
b) Umesema mkeo anakufukuza jikoni ukija kupika. That means she is a wife who cooks for her husband. Pia anakufukuza kwa sababu anaamiki hutakiwi kuhangaika jikoni yeye tayari anakuhangaikia. You want more respect and love?
ADVICE: mpumzishe shemeji manaake hata hapa jukwaani kuna wenzio hawajawahi kupata bahati ya kuwaona wake zao jikoni mara kwa mara. Kwa hiki kizazi cha sasa ukipikiwa na mkeo shukuru Mungu!
 
sababu inayo kufanya uwaonee wivu ni ipi sasa kama hauwataki?
[Ahh hapa tatizo Neno wivu, kwetu ukishataja wivu bila kuweka kielezi linaleta tab Wivu wa mapenzi, wivu was maendeleo, wivu Mavazi wivu
Asante asee shukrani mnoo
 
Nadhani mke wako ndiyo huyo mwenye nyeupe , halafu ukiangalia ndugu waliomzunguka ni hatari mnoooooo
Na huyo wa pili kushoto ndiyo wa moshi nini mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23]

We jamaa mkorofi sana aseeee Mke wangu kazidi wote hapo kwenye picha na shemeji zangu hawapo ahh ahh
 
Kaka..... tunaomba fafanua kidogo..... Hapo mashemeji walipokuhudumia vizuri, walipokuonyesha Upendo, Mapenzi, Mahaba, Heshima na Kukujali Haswaa yule wa NNE kuzaliwa ....... Mpaka ukajikuta unajiona Mwanaume tena 😅😅😅

Hapo sasa nitakuwa kungwi ahh ahh Mnajua nyie wake zetu(hope wewe ni she)
 
sasa ww hapo umelenga nn juu ya uzi wako hunawataka mashemeji zako au unahisi kuwa nao muda wote wakuudumie kama mkeo na pia ujatoa sababu za msingi hapa unaleta mboyoyo mingi na kwere zako nying unataka nn hasa kwa hao mashemeji zako fara ww
Nimeuliza swali kwenye Tittle ndo msingi mzeee Thanks lakini
 
Mueleze mkeo unachokikosa kwake na unachokipata kutoka kwa dada zake.
Yah nafanyaga kila mara japo hapendi kuulizwa ulizwa still nampenda sana Sababu kubwa alinibadilisha kutoka Kijana Mume na Sasa Baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…