Najiuliza nilikosea kumuoa wife au ni tamaa au labda shetani?

Thanks Members Nimepata Michango Positive sana sijaona hata negative respond hapo kwangu zote ni Positive. na Hakuna nilipokesa na fikiri kukosea mahali.

Kuna mtu alikuja INBOX thanks sana kwako umenifungua ahh ah, Shemeji zangu ni ndugu zangu ni wadogo zangu.

hila labda ushamba tuu wa kuishi na wanawake, wife ndo mtu wa kwanza kusihi naye ndani nyumba kwenye maisha yangu YA MAHUSIANO TO NDOA, Kwetu tumezaliwa wanne wote wanaume na mama alikuwa Afisa wa Jeshi la Magereza (BIBI JELA) imagine, kupata privarege kama hizi dahh ni maajabu kwangu.
 
Binadam tulvyo ukienda kwa watu unajfanya mchapakazi,msaf na fyetere fyeteree nyngne nenda kwako sasa mvivu wa hatar same applies to hao shemej zako usjchanganye mzee ukieenda kwao utakua hvyo hvyo alivyo mkeo kujfanya wanakujal na umbea mwngne mwng so jtulize uendelee na maisha na mkeo hao ni wageni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka..... tunaomba fafanua kidogo..... Hapo mashemeji walipokuhudumia vizuri, walipokuonyesha Upendo, Mapenzi, Mahaba, Heshima na Kukujali Haswaa yule wa NNE kuzaliwa ....... Mpaka ukajikuta unajiona Mwanaume tena [emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mahusiano hayana formula mkuu, inawezekana kabisa wanakuwa wazuri na wema kwako kwa kuwa ni shemeji yao na vile wako ugenini (unazijua tabia za housegirl mpya?), siyo ajabu mahusiano yao kwa waume zao ni bora ya mke wako kwako. Tulia unakoelekea siyo pazuri.
 
Sababu ni mume wa dada yao wanakuona km baba yao na dada yao ni mama yao.
 
kwi kwi kwi ulivyopopolewa hutarudia kufungua uzi wa kijinga humu,
 
Typing......delete.

Typing......delete.....

Typing .........delete.

Some things are better left unsaid

Jf 8 : 6-11

sasa hivi shemeji analiwa...huwa wana anzaga hivyo hivyo
 
Gonga like if you know the story is still developing and the whole thing is pulling this man deep down that black hole, and he does not know. Its just the beginning ya'll its just the beginning...


Sent from my iPhone using JamiiForums

it is just a trailer the movie is yet to come
 
Wababa wengi ndo hulka zetu. Unakuta nje tabasamu hadi jino la Mwisho ila nyumbani buyu. Sasa ujue hata mkeo anajiona kama alipotea njia kwako, anapo watembelea wadogo zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una HISIA Kali sana Kama zangu,mie mwanamke mzuri na mwenye tabia njema na anaejtuma ktk kazi HUWA NATAMANI HATA KUMWABUDU
 
Unaweka details zako humu mwanzo mwisho. Kama mkeo na hao shemeji zao na waume wao wamo humu basi WANAKUCHORA TU.


 
Hahaha hii dunia inamambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwi kwi kwi ulivyopopolewa hutarudia kufungua uzi wa kijinga humu,
Yawezekana wakijinga kwako kwangu Funzo kubwa Tena sana aseee, Nimepata maoni ya watu wengi bila kutarajia if fill gud . Nawajua watanzania nilitegemea kila nilicho kisoma hata comments kama yako nilijua itakuja tuuu ahh ahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…