Wanasema hivyo kwa sababu shetani ni muasisi wa uasi ...shetani ni muhasisi wa uasi hivyo kawa taitooo ya yoyote afanyaye uasi SHETANI kawa kama SI UNIT ya UASI(DHAMBI)Imani za ki dini zinafundisha kwamba Binadamu wanashawishiwa na shetani kufanya maovu.
Muovu ni mfuasi wa shetani.
Je shetani wakati anahasi alishawishiwa na nani enzi hizo ? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?
kwa hakika nafsi (ya mwanadamu) inaamrisha sana maovu, isipokuwa ile ambayo Mola wangu Mlezi ameirehemu.Hili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuhasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?
Kwenye Qur'an, imeelezwa sababu ya shetani kuasi...Hili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuhasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuhasi ?
katika mbingu mpya dhambi haitakuwepo kwa sababu tutakuwa na uzoefu wa matokeo na madhara ya kutenda dhambi.Dhiki kuu,ziwa liwakalo moto na mateso ya jehanamu ya moto.Ukiona shetani na malaika zake na wafuasi wake wanavyoteseka hakuna atakayethubutu kutenda dhambi.Lakini tutakuwa na ROHO mtakatifu ROHO wa Mungu ndani yetu atakayetuongoza kutenda dhambi.Yes, swali lake ni zuri sana tu, sababu kumbuka bibilia inasema kwenye mbingu mpya na nchi mpya dhambi haita kuwemo... Sasa je kivipi wakati hata mbinguni hakukuwa na dhambi lakini shetani alipata wazo la dhambi?
Kama binadamu tatukuwa huru kama kipindi hicho na sasa, hawatafikiria uovu kama sasa hata kwa nyakati moja?
je, Mungu atatupa uwezo wa ziada wa kuepuka dhambi ambao hakuwapa watu wa mwanzo?
Dhambi ni uvunjifu wa sheria sasa je inasemaje dhambi haita kuwepo wakati sheria zitakuwepo?
muasisi, uasimuhasisi wa uhasi hivyo kawa taitooo ya yoyote afanyaye uhasi SHETANI kawa kama SI UNIT ya UHASI(DHAMBI)
sasa kiumbe kimetoka udongoni kina upeo mfupi halafu wewe mwenye nguvu ya kusambaratisha milima unaambiwa ukisujudie eti kipo juu ya viumbe vyote inaingia akilini kweli?Kwenye Qur'an, imeelezwa sababu ya shetani kuasi...
Kosa lake lilikuwa kutokumsujudia Adam , sijda ya heshima na kutambua utukufu na daraja aliyopewa juu ya viumbe wengine.
Kwanini aliasi..... Ni kwasababu ya husda alokuwa nayo kwa baba yetu Adamu, aliapa kwamba yeye angefanywa Bora angemuangamiza na Adamu akifanywa Bora angemuangamiza pia.
Kwanini aliachwa akaasi..... Binadamu na majini wanauhuru wakuchagua njia wanayotaka kupita, Wana nguvu ndani ya maamuzi ya kuwa wema au waovu, kwahyo njia utakayoichagua itakuwa ni jukumu lako na utapelekwa huko huko unapokutaka.
Shetani tangu alivyoasi mpka Leo Bado anaendeleza kazi yake, lakini pamoja na uwepo wa shetani watu wema wapo na waovu wapo, ingekuwa shetani anaushawishi wa Moja kwa moja kwa watu, wema wasingekuwepo hata mmoja.
Shetani ana nguvu baada ya wewe mwenyewe kuamua kufata njia isiyosahihi na yeye anakushawishi zaidi Uende huko huko ulipokuchagua.
Mfano: Wewe una rafiki yako muhuni, mvuta bangi lakini hajawahi kukwambia hata siku Moja njoo tuvute, mkikutana ni story basi. Siku Moja ukaamua mwenyewe tu hebu nami nijaribu kuvuta, mshkaji akakupa bangi ukavuta, mshkaji akaanza
" nikivutaga hii Huwa najiskia vizuri sanaa, inanipa mzuka".
Kuanzia siku hiyo mshkaji akaanza kukuvuta zaidi kwenye uvutaji , akikuona
" Leo mshkaji wangu Nina Ile ya Arusha kbsaa, ya Leo Leo".
Usinambie katika hali hii rafiki yako ndo kakuingiza kwenye uvutaji, Bali ni wewe mwenyewe ndo umeingia.
Ndomna baada ya shetani kuasi kukaja miongozo, na mitume ili kumuweka mtu katika lengo lake husika na asifate nyayo za shetani aliyeasi. Kwahy ukiiacha hiyo miongozo basi wewe na shetani hamna tofauti wote waasi na shetani atakuwa na nguvu juu Yako kwakua umemfanya rafiki.
Lakini ukiifata miongozo uliyopewa shetani hawezi kuwa na nguvu juu Yako.
Alimuasi, ondoa HNiliposoma kuwa shetani alimuhasi Mungu, nikachoka sikuendelea
Umejibu vyema, sema nawaza je katika muda wowote hapa duniani kuna mtu ambae ni msafi na mtakatifu? Au ndio lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu kinawezekana?katika mbingu mpya dhambi haitakuwepo kwa sababu tutakuwa na uzoefu wa matokeo na madhara ya kutenda dhambi.Dhiki kuu,ziwa liwakalo moto na mateso ya jehanamu ya moto.Ukiona shetani na malaika zake na wafuasi wake wanavyoteseka hakuna atakayethubutu kutenda dhambi.Lakini tutakuwa na ROHO mtakatifu ROHO wa Mungu ndani yetu atakayetuongoza kutenda dhambi.
TUTAKUWA WASHINDI watakao ingia mbinguni ni watakatifu ambao waliishi maisha ya utakatifu wakiwa duniani tena dunia yenye vishawishi vya dhambi wakafaulu mtihani wakashinda vishawishi tamaa mbaya za mwili za dhambi wakamshinda shetani..hivyo wamechujwa hakuna kinyonge kichafu kitakachoingia mbinguni.Kama uliishinda dhambi duniani kwwnye vishawishi vya dhambi ukaingia mbinguni ukiwa mtakatifu ni unlikekly ukifika mbinguni uishinmaisha ya dhambi wakati duniani uliiishi maisha ya kitakatifu.TIKETI YA KUINGIA MBINGUNI ni UTAKATIFU NA ROHO MTAKATIFU.
Nani kakudanganya unashawishiwa na shetani?Hili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
Na tangu enzi hzo mpka Leo shetani Wala yeyote Hana uwezo wa kupindua.Mimi naona jibu ni moja tu kwamba malaika walipewa utashi kama binadamu
Na itoshe kusema kwamba waliteswa sana kwasababu utashi hauwezi kumuongoza kiumbe akubali kuwa chini ya mwingine, lazima atafute uhuru
Kwa namna fulani namuona shetani kama shujaa ambaye hakukubali kupelekeshwa
Sasa Yahweh naye alikuza mambo tu, nafasi yake ya muweza wa yote haiwezi kupinduliwa na maandamano ya kiumbe mdogo shetani....
Kwanza alijua kabisa shetani atagoma, si mjuzi wa yote?
Haya mambo yanachanganya....
Nimeandika kama mpita njia tu asiyeshika imani yeyote ya kikristo
Ngoja nikarekebishe haraka kabla FaizaFoxy hajaona😁😁muasisi, uasi
Ondoa H
Oohh!! Maamuzi ni yako ila sie wengine ni Bora kuliko shetani, wewe kma umeamua kuwa shetani ni Bora kuliko wewe mtajuana na rafiki yako.sasa kiumbe kimetoka udongoni kina upeo mfupi halafu wewe mwenye nguvu ya kusambaratisha milima unaambiwa ukisujudie eti kipo juu ya viumbe vyote inaingia akilini kweli?
shetani hakuwa mjinga
Ni kweli binadamu, tuna upekee mbele za Mungu ila hakuwahi kuwafanya malaika wamsujudie mwanadamu, ukristo unaamina anaepaswa kusujudiwa ni Mungu pekee... Lakini kiuwezo malaika wana uwezo mkubwa kuliko binadamu, ni kinyume na kanuni za asili kiumbe chenye uwezo mkubwa kuwa chini ya kiumbe chenye uwezo mdogo... Nakubaliana na wewe sio ukwelisasa kiumbe kimetoka udongoni kina upeo mfupi halafu wewe mwenye nguvu ya kusambaratisha milima unaambiwa ukisujudie eti kipo juu ya viumbe vyote inaingia akilini kweli?
shetani hakuwa mjinga
Kushindwa kutii maelekezo ya Mungu.Dhambi ni nini??