Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Ndo uwaambie Kwa sauti akina Mwijaku, yule DC wa Nkasi na yule mwalimu wa shule ya msingi aliyefukuza wanafunzi Kwa sababu za uchawa bini ukunguni na ukiluwiluwi wa chura kiziwi. Pamoja na akina Tlaatlaah , Lucas MwashambwaSwali zuri sana
Hawa CHAWA wa Kwenye siasa Chanzo chake ndio nyakati hizo
Shetani ni Lucifer ambaye alipenda sana Sifa na kwa kujua hilo Malaika wenzake wakawa wanampa Sifa za Uwongo Kwamba Yeye ni kama Mungu
Naye akaamini na kujipa Utukufu
Kilichomkuta kila Malaika anakijua hasa Mikael, Gabriel na Raphael
Ulale Unono 😀😀
Gentleman,Ndo uwaambie Kwa sauti akina Mwijaku, yule DC wa Nkasi na yule mwalimu wa shule ya msingi aliyefukuza wanafunzi Kwa sababu za uchawa bini ukunguni na ukiluwiluwi wa chura kiziwi. Pamoja na akina Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa
Kuna kifungo Cha miaka 30 gerezani na sote ni mashuhuda wengi wamedakwa katka hili, pia Kuna mitume , manabii, viongozi wa dini, Yesu na Roho mtakatifu, pamoja na mahubiri na mihadhara ya kidini na bado watu wanawakula watyotyo wa shule. Je, hicho ulichosema kina guarantee kiasi gani Kwa binadamu kutotenda dhambi tena?katika mbingu mpya dhambi haitakuwepo kwa sababu tutakuwa na uzoefu wa matokeo na madhara ya kutenda dhambi.Dhiki kuu,ziwa liwakalo moto na mateso ya jehanamu ya moto.Ukiona shetani na malaika zake na wafuasi wake wanavyoteseka hakuna atakayethubutu kutenda dhambi.Lakini tutakuwa na ROHO mtakatifu ROHO wa Mungu ndani yetu atakayetuongoza kutenda dhambi.
TUTAKUWA WASHINDI watakao ingia mbinguni ni watakatifu ambao waliishi maisha ya utakatifu wakiwa duniani tena dunia yenye vishawishi vya dhambi wakafaulu mtihani wakashinda vishawishi tamaa mbaya za mwili za dhambi wakamshinda shetani..hivyo wamechujwa hakuna kinyonge kichafu kitakachoingia mbinguni.Kama uliishinda dhambi duniani kwwnye vishawishi vya dhambi ukaingia mbinguni ukiwa mtakatifu ni unlikekly ukifika mbinguni uishinmaisha ya dhambi wakati duniani uliiishi maisha ya kitakatifu.TIKETI YA KUINGIA MBINGUNI ni UTAKATIFU NA ROHO MTAKATIFU.
Hayo yote ni mipango ya Mungu alipanga iwe hivyo.Sijui ananufaikaje na hizi shida zinazowakabili wanadamu.Ila,naamini shetani ni 'policcm' wa Mungu wanaotumika kuwaadhibu wanadamu.Shetani anasubiri umkosee Mungu ndo akuadhibu ila usipomkosea Mungu hana sababu ya kukudhuru.Wakati mwingine Mungu anamtuma shetani akamuadhibu mtu fulani,rejea kitabu cha 2Mambo ya Nyakati 18:18-21.Kuna wakati huwa najiuliza nafananisha uadui wa Mungu na shetani kama viongozi wapinzani ma Chama tawala,wanakaa pamoja na kunywa juisi huku wananchi wa kawaida wana uhasama juu ya vyama.Hili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
Binadamu hawatatenda dhambi kwa sababu watakuwa na sehemu ya ROHO ya Mungu ndani yao yani ushirika wa kiroho na Mungu.Watakuwa watakatifu.Kuna kifungo Cha miaka 30 gerezani na sote ni mashuhuda wengi wamedakwa katka hili, pia Kuna mitume , manabii, viongozi wa dini, Yesu na Roho mtakatifu, pamoja na mahubiri na mihadhara ya kidini na bado watu wanawakula watyotyo wa shule. Je, hicho ulichosema kina guarantee kiasi gani Kwa binadamu kutotenda dhambi tena?
naunga mkono hoja.Chanzo Cha dhambi sio shetani ni Moyo
Tofauti na matarajio yakenaunga mkono hoja.
ELIMU YA FALAKI inasema shetani alijisemea Moyoni mwake alinuia ndani ya moyo wake mambo mawili 1)ashawishi malaika 2/3 wamuasi Mungu wawe upande wake alijua kwa vilw alikuwa na ushawishi mkubwa Mbinguni mana alikuwa ni malaika mkuu wa sifa LUCIFER ingekuwa rahisi kuwashawishi asilimia kubwa ya malaika anaowaongoza qaungane naye
2)nitatengeneza enzi yangu na kiti changu juu ya mbingu mbingu nyingine ,malaika wa Mungu watakaobaki 1/3 wakifanya vita juu yake hawatamshinda maana atakuwa na sehemu kubwa ya malaika upande wake yani 2/3
(Haya alikuwa anawaza moyoni mwake)..MOYONI NDANI YA MOYO WAKE.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli.Hili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
na sio binadamu pekee hata na viumbe vingine vyote vitakavyikuwa Mbinguni vyote vitakuwa na sehemu ya Roho ya Mungu(hata mimea n.k) na vyote vitakuwa vinamtukuza na kumsifu na kumsujudia na kumuabudu Mungu.Yaani vitakuwa na ushirika na Mungu ,yani kama ni kuimba ni kama viumbe vyote vitasifu uniformly kama vile wanakwaya wanavyoimba kwa pamoja kwa umoja sare sare.Yani kama vile mawazo yanafanana yani kama nafsi moja lakini watu tofauti(KIFUPI SEHEMU YA ROHO MUNGU ITAKUWA NDANI YA VIUMBE VYOTE VITAKAVYOKUWA MBINGUNI)Binadamu hawatatenda dhambi kwa sababu watakuwa na sehemu ya ROHO ya Mungu ndani yao yani ushirika wa kiroho na Mungu.Watakuwa watakatifu.
na sio binadamu pekee hata na viumbe vingine vyote vitakavyikuwa Mbinguni vyote vitakuwa na sehemu ya Roho ya Mungu(hata mimea n.k) na vyote vitakuwa vinamtukuza na kumsifu na kumsujudia na kumuabudu Mungu.Yaani vitakuwa na ushirika na Mungu ,yani kama ni kuimba ni kama viumbe vyote vitasifu uniformly kama vile wanakwaya wanavyoimba kwa pamoja kwa umoja sare sare.Yani kama vile mawazo yanafanana yani kama nafsi moja lakini watu tofauti(KIFUPI SEHEMU YA ROHO MUNGU ITAKUWA NDANI YA VIUMBE VYOTE VITAKAVYOKUWA MBINGUNI) na infact ndivyo ilivyo hata sasa(now) wakati huu mbinguni.Na hujasikia tena kuna aliyeasi mbinguni.Hata sasa watakatifu wapo mbinguni .Ukishakufa ile moment roho yako imetoka the very same second sekunde hiyohiyo roho yako inaenda either mbinguni au kifungoni kwenye mateso through kupitia njia panda ya kuzimu.Unabaki mwili duniani ila roho inafika sehemu husika sekunde ile ile.
Myth iliyopo wengi wanaamanini wakifa wanapumzika wanalala wanakuwa hawaelewi chochote wqnasubiri kuja kufufuliwa siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu.FACT ni kwamba ROHO haifi roho ni pumzi ya uhai ya Mungu aliyotuoulizia wanadamu Roho huwa haifi labda MUNGU mwenyewe aamue kuua Roho yako ila bila hivyo Roho huwa haifi mtu anapokufa.
Story tu hizo zisikuumize kichwaHili swali huwa najiuliza sana
Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu?
Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?