Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
Ndo uwaambie Kwa sauti akina Mwijaku, yule DC wa Nkasi na yule mwalimu wa shule ya msingi aliyefukuza wanafunzi Kwa sababu za uchawa bini ukunguni na ukiluwiluwi wa chura kiziwi. Pamoja na akina Tlaatlaah , Lucas MwashambwaSwali zuri sana
Hawa CHAWA wa Kwenye siasa Chanzo chake ndio nyakati hizo
Shetani ni Lucifer ambaye alipenda sana Sifa na kwa kujua hilo Malaika wenzake wakawa wanampa Sifa za Uwongo Kwamba Yeye ni kama Mungu
Naye akaamini na kujipa Utukufu
Kilichomkuta kila Malaika anakijua hasa Mikael, Gabriel na Raphael
Ulale Unono 😀😀