Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

Swali zuri sana

Hawa CHAWA wa Kwenye siasa Chanzo chake ndio nyakati hizo

Shetani ni Lucifer ambaye alipenda sana Sifa na kwa kujua hilo Malaika wenzake wakawa wanampa Sifa za Uwongo Kwamba Yeye ni kama Mungu

Naye akaamini na kujipa Utukufu

Kilichomkuta kila Malaika anakijua hasa Mikael, Gabriel na Raphael

Ulale Unono 😀😀
Ndo uwaambie Kwa sauti akina Mwijaku, yule DC wa Nkasi na yule mwalimu wa shule ya msingi aliyefukuza wanafunzi Kwa sababu za uchawa bini ukunguni na ukiluwiluwi wa chura kiziwi. Pamoja na akina Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa
 
Ndo uwaambie Kwa sauti akina Mwijaku, yule DC wa Nkasi na yule mwalimu wa shule ya msingi aliyefukuza wanafunzi Kwa sababu za uchawa bini ukunguni na ukiluwiluwi wa chura kiziwi. Pamoja na akina Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa
Gentleman,
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, itaendelea kuwatumikia wananchi na waTanzania wote bila kujali mirengo ya kisiasa au vinginevyo na hatimae kuwaletea wananchi maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi...

Kama Taifa inafaa kutokubabaika na porojo na story za pata potea ambazo kwakweli hazina nafasi hata kidogo, hasa wakati huu wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa kikatiba wa Oct 2025 🐒
 
katika mbingu mpya dhambi haitakuwepo kwa sababu tutakuwa na uzoefu wa matokeo na madhara ya kutenda dhambi.Dhiki kuu,ziwa liwakalo moto na mateso ya jehanamu ya moto.Ukiona shetani na malaika zake na wafuasi wake wanavyoteseka hakuna atakayethubutu kutenda dhambi.Lakini tutakuwa na ROHO mtakatifu ROHO wa Mungu ndani yetu atakayetuongoza kutenda dhambi.
TUTAKUWA WASHINDI watakao ingia mbinguni ni watakatifu ambao waliishi maisha ya utakatifu wakiwa duniani tena dunia yenye vishawishi vya dhambi wakafaulu mtihani wakashinda vishawishi tamaa mbaya za mwili za dhambi wakamshinda shetani..hivyo wamechujwa hakuna kinyonge kichafu kitakachoingia mbinguni.Kama uliishinda dhambi duniani kwwnye vishawishi vya dhambi ukaingia mbinguni ukiwa mtakatifu ni unlikekly ukifika mbinguni uishinmaisha ya dhambi wakati duniani uliiishi maisha ya kitakatifu.TIKETI YA KUINGIA MBINGUNI ni UTAKATIFU NA ROHO MTAKATIFU.
Kuna kifungo Cha miaka 30 gerezani na sote ni mashuhuda wengi wamedakwa katka hili, pia Kuna mitume , manabii, viongozi wa dini, Yesu na Roho mtakatifu, pamoja na mahubiri na mihadhara ya kidini na bado watu wanawakula watyotyo wa shule. Je, hicho ulichosema kina guarantee kiasi gani Kwa binadamu kutotenda dhambi tena?
 
Hili swali huwa najiuliza sana

Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu?

Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
Hayo yote ni mipango ya Mungu alipanga iwe hivyo.Sijui ananufaikaje na hizi shida zinazowakabili wanadamu.Ila,naamini shetani ni 'policcm' wa Mungu wanaotumika kuwaadhibu wanadamu.Shetani anasubiri umkosee Mungu ndo akuadhibu ila usipomkosea Mungu hana sababu ya kukudhuru.Wakati mwingine Mungu anamtuma shetani akamuadhibu mtu fulani,rejea kitabu cha 2Mambo ya Nyakati 18:18-21.Kuna wakati huwa najiuliza nafananisha uadui wa Mungu na shetani kama viongozi wapinzani ma Chama tawala,wanakaa pamoja na kunywa juisi huku wananchi wa kawaida wana uhasama juu ya vyama.
 
Kuna kifungo Cha miaka 30 gerezani na sote ni mashuhuda wengi wamedakwa katka hili, pia Kuna mitume , manabii, viongozi wa dini, Yesu na Roho mtakatifu, pamoja na mahubiri na mihadhara ya kidini na bado watu wanawakula watyotyo wa shule. Je, hicho ulichosema kina guarantee kiasi gani Kwa binadamu kutotenda dhambi tena?
Binadamu hawatatenda dhambi kwa sababu watakuwa na sehemu ya ROHO ya Mungu ndani yao yani ushirika wa kiroho na Mungu.Watakuwa watakatifu.
 
Chanzo Cha dhambi sio shetani ni Moyo
naunga mkono hoja.
ELIMU YA FALAKI inasema shetani alijisemea Moyoni mwake alinuia ndani ya moyo wake mambo mawili 1)ashawishi malaika 2/3 wamuasi Mungu wawe upande wake alijua kwa vilw alikuwa na ushawishi mkubwa Mbinguni mana alikuwa ni malaika mkuu wa sifa LUCIFER ingekuwa rahisi kuwashawishi asilimia kubwa ya malaika anaowaongoza waungane naye wangemsikiliza kutokana na nafasi yake aliyokuwa nayo na shughuli aliyokuwa anaifanya mbinguni.

2)nitatengeneza enzi yangu na kiti changu cha enzi /utawala wake/ufalme wake juu ya mbingu iliyopo ,new mbingu nyingine mpya juu zaidi yabiliyopo,malaika wa Mungu wachache watakaobaki 1/3 ambao watakuwa loyal kwa Mungu hata wakifanya vita juu yake hawatamshinda kwa vike aliamini yeye atakuwa na jeshi kubwa la sehemu kubwa ya malaika upande wake yani 2/3
(Haya alikuwa anawaza moyoni mwake)..MOYONI NDANI YA MOYO WAKE.
 
naunga mkono hoja.
ELIMU YA FALAKI inasema shetani alijisemea Moyoni mwake alinuia ndani ya moyo wake mambo mawili 1)ashawishi malaika 2/3 wamuasi Mungu wawe upande wake alijua kwa vilw alikuwa na ushawishi mkubwa Mbinguni mana alikuwa ni malaika mkuu wa sifa LUCIFER ingekuwa rahisi kuwashawishi asilimia kubwa ya malaika anaowaongoza qaungane naye
2)nitatengeneza enzi yangu na kiti changu juu ya mbingu mbingu nyingine ,malaika wa Mungu watakaobaki 1/3 wakifanya vita juu yake hawatamshinda maana atakuwa na sehemu kubwa ya malaika upande wake yani 2/3
(Haya alikuwa anawaza moyoni mwake)..MOYONI NDANI YA MOYO WAKE.
Tofauti na matarajio yake
1) alifanikiwa kuwashawishi baadhi ya malaika kwa sehemu ndogo ya 1/3 ndio waliokubali kumuasi Mungu na kuwa upande wake badala ya 2/3 kama alivyopanga na kutarajia.
2)Mungu alimnyanyua malaika MICHAEL juu ya mbingu akampa /akamjaza nguvu nyingi na kumshusha kupambana na shetani/lucifer ,KITENDO cha malaika MIKAELI kutua tu walipokuwa shetani/lucifer na 1/3 ya malaika waasi wote wakarushwa /wakatupwa chini chini sana underworld chini ya mwisho kuzimu ndani deep.
 
Binadamu hawatatenda dhambi kwa sababu watakuwa na sehemu ya ROHO ya Mungu ndani yao yani ushirika wa kiroho na Mungu.Watakuwa watakatifu.
na sio binadamu pekee hata na viumbe vingine vyote vitakavyikuwa Mbinguni vyote vitakuwa na sehemu ya Roho ya Mungu(hata mimea n.k) na vyote vitakuwa vinamtukuza na kumsifu na kumsujudia na kumuabudu Mungu.Yaani vitakuwa na ushirika na Mungu ,yani kama ni kuimba ni kama viumbe vyote vitasifu uniformly kama vile wanakwaya wanavyoimba kwa pamoja kwa umoja sare sare.Yani kama vile mawazo yanafanana yani kama nafsi moja lakini watu tofauti(KIFUPI SEHEMU YA ROHO MUNGU ITAKUWA NDANI YA VIUMBE VYOTE VITAKAVYOKUWA MBINGUNI)
 
Haya masuala ya dini yana machaguo mawili. Ukiona chenga chenga achana nayo, ukiamua kuyafuata jizime data.
 
na sio binadamu pekee hata na viumbe vingine vyote vitakavyikuwa Mbinguni vyote vitakuwa na sehemu ya Roho ya Mungu(hata mimea n.k) na vyote vitakuwa vinamtukuza na kumsifu na kumsujudia na kumuabudu Mungu.Yaani vitakuwa na ushirika na Mungu ,yani kama ni kuimba ni kama viumbe vyote vitasifu uniformly kama vile wanakwaya wanavyoimba kwa pamoja kwa umoja sare sare.Yani kama vile mawazo yanafanana yani kama nafsi moja lakini watu tofauti(KIFUPI SEHEMU YA ROHO MUNGU ITAKUWA NDANI YA VIUMBE VYOTE VITAKAVYOKUWA MBINGUNI) na infact ndivyo ilivyo hata sasa(now) wakati huu mbinguni.Na hujasikia tena kuna aliyeasi mbinguni.Hata sasa watakatifu wapo mbinguni .Ukishakufa ile moment roho yako imetoka the very same second sekunde hiyohiyo roho yako inaenda either mbinguni au kifungoni kwenye mateso through kupitia njia panda ya kuzimu.Unabaki mwili duniani ila roho inafika sehemu husika sekunde ile ile.
Myth iliyopo wengi wanaamanini wakifa wanapumzika wanalala wanakuwa hawaelewi chochote wqnasubiri kuja kufufuliwa siku ya mwisho kwa ajili ya hukumu.FACT ni kwamba ROHO haifi roho ni pumzi ya uhai ya Mungu aliyotuoulizia wanadamu Roho huwa haifi labda MUNGU mwenyewe aamue kuua Roho yako ila bila hivyo Roho huwa haifi mtu anapokufa.
 
njia rahisi ya kuyajua haya ni kumuanini Mungu imani isiyokuwa na mashaka,kujitenga na dhambi kuacha dhambi,kuikimbia dahmbi,ibada,toba na rehema sala,unyenyekevu kwa Mungu,
on top tafuta kuwa na mahusiano mazuri na Mungu wako chukia dhambi,penda kumpendeza Mungu,omba toba na rehema,kuwa mnyenyekevu na msikivu kwa Mungu wako.
OMBA nguvu ya Mungu(Roho wa Mungu/Roho mtakatifu) mtafuteni Bwana Mungu na nguvu zake,mkishapokea NGUVU ya Roho wq Mungu...hii Roho ya Mungu ndani yenu ndiyo itakayokusaidia kukufundisha na kukufunulia mambo yote...lakini pia mafundisho na shuhuda ufunuo kutoka kwa watumishi wa Mungu waliojazwa Roho mtakatifu.
MUNGU ATUSAIDIE ..
Lakini siku hizi za mwisho KILA SIRI ITAFUNULIWA tutazifahamu siri zote za gizani na za nuruni.
 
tusiangamie kwa kukosa maarifa,kifupi zaidi kwa sisi binadamu wenye pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu.Tayari ufalme wa Mungu upo ndani yetu.Tunachotakiwa kufanya ili tupate connection ushirika na Mingu ni tuache dhambi.Dhambi ndio kitu pekee kinachotutenga na Mungu.
Daraja kubwa la kutuunganisha wanadamu na Mungu ni kupitia damu ya Yesu /Yesu mwenyewe ndio mpatanishi na daraja la kutu unganisha na Mungu.
Tuogope sana dhambi dhambi ina madhara makubwa sana,leo ukifa ukiwa na dhambi dakika hiyo hiyo roho yako inaenda kwwnye mateso.Kumbuka mfank wa masikini LAZARO na tajiri.Walipokufa tu tajiri akajikuta kwwnye mateso makali na lazaro mbinguni kwenye raha na furaha.Maisha ya duniani ni mafupi sana.Maisha ya baada ya kifo ni ya milele.Dunia hii ya muda mfupi isikufanye ukiondoka hapa duniani ukaishi maisha marefu yaliyobaki ya milele kwenye mateso ya milele.DHAMBI NI KITU KIBAYA SANA (MAUTI).
 
Mbona huoji kuhusu wivu? Dark and light are like the coin, th3 same but have two sides
 
Kukiri kuwa shetani alimwasi Mungu kunamwondolea sifa ya Mungu kujua yote kwani yeye ni muumba wa vyote akiwemo shetani.Kinyume ni kwamba shetani ni mjumbe wa Mungu anayemtangaza kwa kumpinga ili utukufu wa Mungu uonekane.
 
Kuna wakati mwingine Mungu anawaacha viumbe wake wajiendee free kama walivyokusudia moyoni mwao ,anawaacha tu anawaangalia tu viumbe wake ,wakati mwingine haitaji kishindana na viumbe wale aliowaumba mwwnyewe akawapa na utashi na sheria .Kama leo ilivyo dhambi ni haramu ila kuna wanaofanya dhambi kama ni ufahari na halali Mungu anatuona anatuangalia tu.Ipo siku inakuja tutatolea hesabu ya mambo yote.Kila jambo unalofanya iwe sirini moyoni gizani au hatahrani liwe jema au baya linarekodiwa mkanda na kuandikwa kwa kalamu kwenye vitabu vyetu/mafaili majalada yetu.TUTATOLEA HESABU siku UKIFA TU.
 
shetani ameshahukumiwa toka siku ile alipo asi destiny yake ni ziwa liwakalo moto yeye na wafuasi wake wote malaika wa asi(majini/mapepo/mizimu) na wanadamu wenye dhambi.
Mungu alikuwa nao uwezo wa kumzuia na kuzuia ila (ALIAMUA KUACHA) akili za Mungu hazichunguziki wala hatupaswi kihoji maamuzi ya Mungu sisi ni wa kumtii.Shetani alikosa utii kwa Mungu ndio uasi.

KIBURI CHA UZIMA.
Ni kujivunia pumzi ya uhai Mungu aliyotupa na kujiona ni GT tuna akili kuliko Mungu na kufikia hatua ya kumkufuru Mungu na kudiriki kuthubutu kusema hakuna Mungu(KUFURU) kwa vile tunapua pumzi ya bure ya uhai kutoka kwa Mungu.na kujiona fahari na mashuhuri kutaka kufurahisha genge kuvimba kichwa.
Siku itakapo kutoka hiyo pumzi roho yako ukiwa katika hali ya dhambi utakuwa peke yako bila fans unaowaletea sifa,ukavuna ulichokipanda wewe mwenyewe sawasawa na hesabu ya matendo yako ..ukaanza kutumikia hesabu ya madhambi yako ....ndio utajua kuwa MUNGU YUPO....muda utaongea kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba Yesu ni mwokozi na Mungu yupo.Muda utaongea.sasa hivi endelea kukufuru ili kupata sifa na ufahari na ukifikiri ndio werevu u great sinker UGT.
 
Back
Top Bottom