Historia fupi ya ex mke wangu
Madame B
nilimkuta mtoto uso una chunusi,nikapata kazi ya kuuremba uso.
Mtoto alikuwa na nyayo zilizochanika miguuni ka steel wire nikampa lotion miguu ikawa milaini kama skonzi.
Madame B alikuwa na nywele ka mkutano wa inzi,nikampeleka saluni,leo anarembeshwa na rasta,
Madame B alikuwa ana nguo moja tu ambayo ni gauni,lakini nikampeleka shopping nguo kajaza mabati matano.
Madame B alikuwa na ndala,nikamnunulia viatu,leo ana pea zaidi ya ef 5.
Madame B alikuwa anaendesha baiskeli,nikamnunulia mercedes benz.
Leo
Madame B ananigeuka kwenda kwa
Ben Saanane ambaye naye nilimpokea calcuta india,nikamsaidia pocket money.
Kweli kikulacho ki nguoni mwako,
rafiki yako ndio adui yako.