Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Bahari iko mbele yangu,niendako sipaoni,ni kama mwanafunzi wa form 4 aliyezungusha ama kutaga yai baada ya familia yao kuuza ng'ombe wote ili asome.
Lahaula sikubali ntaenda kwa Bishanga nasikia kafungua kabiashara kapya anajiita mganga maarufu toka bukoba, amsahaulishe Ben Saanane amwite Madame B dada yake
 
Last edited by a moderator:

ahahhahahhahahahhah ,Duh JF Rocks
Bishanga angejua yote hayo naye si angetafuta ufumbuzi maana mimacho anayomtolea Madame B hadi macho yamekua Red
 
Last edited by a moderator:

Mpenzi wangu.
Hao wote wanaonikumbuka leo walikuwa wapi?
Wasikutishe na mikwara yao mpenzi wangu.
Arushaone simjui, Chimbuvu simjui,
TUKUTUKU simjui.
Nakujua wewe tu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ben Saanane na Lady Madame B nawatakieni kila lakheri.
Ila kaka ukianza kuona dalili za jogoo kutopanda mtungi ujue Komando wa Kichina kakushikisha leso ya Mwakyembe
Asante kaka, ila....

Hahahhaha nitatumia mbinu ya Mwanasheria mashuhuri wa Kenya au Sani Abacha
 

Ndo basi tenaaa.
 
Last edited by a moderator:
Khaa mtoto Madame B nilikukuta sitimbi umebeba mahindi na furushi la magimbi,
leo Madame B unaniona takataka mbele ya washika dau khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa :cry:

Niache nitanue nae mpenzi wangu.
Hebu rudia tena...ulinikuta wapi ati?
Chimbuvu, niache nipumue.
Kipenzi changu yuko kwenye kampeni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…