Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu


Chimbuvu mpenzi wangu wa moyo.
Kumbuka ulikuwa na nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu.
Na ulidiriki hata kumwambia shemeji C6 jinsi unavyojisikia ukiwa na mimi.
Ila tatizo lako ni moja tu, Ulishindwa kuniambia kuwa unataka kuoa.
Mie mwenyewe nakukumbuka sana mpenzi wangu.
Sijakutupa.
Bado nakuwaza.
Ila "mapenzi yetu yawe ya siri".

Mbona wenzako tedo, Chilli na Remote hawalalamiki?
Mweeehhh!!!
 
Last edited by a moderator:


Copy Ben Saanane khaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ben Saanane hongera mwaya umepata toto toto kweli kweli wacha wa kusema waseme mwenye bahati wewe. Siasa weka kando umeshapata ukipendacho tabu gani tena.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume hajitambulishi bibi weww. Anatambulishwa na majukumu. Madame B kampendea huo huo uanasiasa. Dume la maana linalopigania nchi yake.
Shem Ben Saanane usiache kupambana na kamwe hakuna kurudi nyuma. Np retreat no surrender! Here here together we stand, united front.
Ben Saanane hongera mwaya umepata toto toto kweli kweli wacha wa kusema waseme mwenye bahati wewe. Siasa weka kando umeshapata ukipendacho tabu gani tena.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi yamemchanganya Ben Saanane wa watu...ukombozi katupa kuleeeee....hahahaaaa

KOKUTONA mpenzi, mapenzi yanaweza hamisha mlima kupeleka baharini.
Unamkumbuka yule afsa wa jeshi alievuliwa ukamanda kwa kukolezwa na penzi la kimada?
Sasa ndo huku tunakoelekea.
M4C wanamcheki tu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…