Vuuuup!!!!!
Mwanaume hajitambulishi bibi weww. Anatambulishwa na majukumu. Madame B kampendea huo huo uanasiasa. Dume la maana linalopigania nchi yake.
Shem Ben Saanane usiache kupambana na kamwe hakuna kurudi nyuma. Np retreat no surrender! Here here together we stand, united front.
Salaam mjeda! Best Regards to Paw.
Hivi Madame B leo umeingia night shift?
Nadhan nimepotea njia!!...niko wap hapa jaman?
Hivi Madame B leo umeingia night shift?
My X najua ulinipenda sana.
Ila tatizo ulitaka kumuoa charminglady kwa sirisiri.
mwee unamfaidi sana huyu Madame B lol
Wee, ulikuwa mafichoni, mwenzio kaja hadharani tena bila mtutu wa bunduki wala nini
Kalevywa na penzi tu, chezea chin chong wewe ya madame b
Wee, ulikuwa mafichoni, mwenzio kaja hadharani tena bila mtutu wa bunduki wala nini
Kalevywa na penzi tu, chezea chin chong wewe ya madame b
Nadhan nimepotea njia!!...niko wap hapa jaman?