Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunapendana kweli kweli...kama, Prof. Muhongo na Uongo
mi nimetoa mfano tu!!
huyo jamaa ni muongo to the maximum
Daaah! nitake radhi mkuu! check spelling mkuu mwalu is he and mwallu ! naona inabidi nami niongeze iwe MR MWALU labda!
kiwatengu naruhusiwa kuwafagilia akina amu, vivian, Arabela, Honey Faith, brenda18 na wengineo au nimfagilie marejesho peke yake!!!??
Mbona kama kunakutafutana ubaya hapa!!
#justAsking #
@mwanyasi nina wasi wasi huo inawezekana Erickb52 kashatumiwa kombora nae amefulia kama BishangaErickb52 kafulia pia nini? zambi ile ile inamfuata, ngoja na mimi niache yasijenikuta. au The secretary alimpeleka Nungwi?
nyota yako sio ya bahati,umekaa nae muda wote akigombea upresidaa ya tiefuefu anakosa ila alipohamia kwa Zahra White mutoto ya mujini nyota inangaa ya bahati haya sasa Bishanga kauopoa upresidaa sasa akugande wa nini?mimi mwenzenu nasikitika sana ameniacha mpenzi wanguuuu nina huzuni sanaaaa
Arusha mmh! hata siku shauri uende huko..
kuna kina Lady doctor