Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Daaah! nitake radhi mkuu! check spelling mkuu mwalu is he and mwallu ! naona inabidi nami niongeze iwe MR MWALU labda!

aisee! naona ndugu yangu Mr Rocky kafanya ka kolishen kidogo hapo!

nikutake radhi kwa niaba yake mkuu
 
Last edited by a moderator:
mi nimetoa mfano tu!!
huyo jamaa ni muongo to the maximum

Hana mfano aise umeona eehhh
Aise niambie gharama za solar bana nataka nijifunge mkanda nifunge kwangu

Daaah! nitake radhi mkuu! check spelling mkuu mwalu is he and mwallu ! naona inabidi nami niongeze iwe MR MWALU labda!

Ohhhhh samahani sana mkuu Mwalu aise dah hapo sasa itabidi uongeze kitu aise maana Mwalu ya kwako na mwallu ya huyu mdada zinafanana na ukikosea tuu imekula kwako
Samahani sana mkuu Mwalu
 
Hana mfano aise umeona eehhh
Aise niambie gharama za solar bana nataka nijifunge mkanda nifunge kwangu

Ohhhhh samahani sana mkuu Mwalu aise dah hapo sasa itabidi uongeze kitu aise maana Mwalu ya kwako na mwallu ya huyu mdada zinafanana na ukikosea tuu imekula kwako
Samahani sana mkuu Mwalu

dah! mi siyo mtaalamu sana wa mambo ya solar mkuu! nadhani mtu sahihi hapa ni Baba V anaweza kukusaidia bei kulingana na size ya solar unayohitaji..
 
Last edited by a moderator:
dah! mi siyo mtaalamu sana wa mambo ya solar mkuu! nadhani mtu sahihi hapa ni Baba V anaweza kukusaidia bei kulingana na size ya solar unayohitaji..

Baba V kokote aliko anakolea ndoa yake ajitokeze aseme neno hapa bana tumeshamchoka Muhongo na uwongo wake na ahadi zake hewa
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu kwakweli kuwa na mke mwema ni neema toka kwa Mungu, ndio maana ndugu yangu Filipo anapenda kunukuu yale maneno matakatifu yasemayo "ndoa na iheshimiwe na watu wote" cc ; Smile
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenzenu nasikitika sana ameniacha mpenzi wanguuuu nina huzuni sanaaaa
nyota yako sio ya bahati,umekaa nae muda wote akigombea upresidaa ya tiefuefu anakosa ila alipohamia kwa Zahra White mutoto ya mujini nyota inangaa ya bahati haya sasa Bishanga kauopoa upresidaa sasa akugande wa nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom