Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Wala sio shida zangu,.
Simu ya kwangu, bando langu, napost matukio yangu wewe unakereka nini kama sio uchawi😄😃
Mi sio mchawi ila mambo ya kupost post inakera..
Kwanini upost yaan mi sijala alafu ww unapost upo kula kama sio wanga ni nini 😄
 
Uko vizuri sana na MUNGU azidi kukupa neema tele.
 
Endeleeni kukaa nayo,.

Tena mie ninavyopenda show off. Chochote tu napost iwe meme, iwe sijui nimetoka out. Nikiwa ofisini tu najipost mda mwingine,.

Na ninaishi vizuri tu, kama kuna ninayemkera animute

😁 Nimependa huu ujasiri wako.. unaongea kimsisitizo Sana Madam

Mimi Kuna baadhi ya friends ambao nina namba zao Whatsapp wasipo post hata kwa siku 2 Huwa nawajulia Hali kuuliza kama wapo wazima ama lah maana nimezoea kuona posts zao.

Wakati mwingine ni sehemu ya kuanzisha mazungumzo sio wakati wote mtakuwa mnatafutana..

Kuna Ile anaepost Kuna kitu kimekufurahisha una reply unachat kidogo siku zinaendana..

Kuna wakati Fulani Kuna rafiki hakuwai post kama Kuna week na siku kadhaa nilimtafuta mbona siioni post zako maana Mimi ni mfatiliaji wa posts zako kumbe alikua anamatatizo kadhaa.. so status inatutanya tuwe connected somehow
 
Na kuna mimi na mashoga zangu wa huku buza hata tukila kiepe yai ni lazima tupost tena ndio iwepo na mishikaki post itarudiwa mpaka. Sisi hatuwezi kuvaa wigi jipya bila kupost.. ni bora tusivae.
Madam Hannah
 
Ahsante Mhasibu kwa machache tumeweza Gundua kuwa

1. Una Gari
2. Una mtoto pia alimaliza form 2 amepata Alama "A" Katika masomo yake

3. Haujafunga Ndoa
4. Una Elimu ya kuunga Unga Hadi kufikia taaluma Yako ya Juu.

5. Unafanya Kazi halmashauri

Naungana na wewe kukupongeza katika aina ya maamuzi uliyochagua kuishi katika maisha Yako ya Kila siku yanafaida kubwa Sana Hongera Sana OKW BOBAN SUNZU Mimi pia ni mmojawapo wa aina hiyo wenzetu ni rahisi kujua wamekula nini Leo kwa kuview status zao 😁 ila ni aina ya maisha pia waliochagua ni jambo zuri pia wao kuwapongeza maana sote hatutaishi milele tufurahie kwa namna tutakayohisi ni sahihi kwetu na kwao pia


Tofauti yao wao na wewe, wao wamepost Whatsapp wewe umepost Jamiiforum
 
And this is how i live with my friends😍

Maisha hayako serious kama watu wanavyodhani
 
Kama unaona unahitaji kukaa nayo moyoni then kinacho kuleta JF kuwalaumu wanao onyesha furaha zao na kuwaita washamba ni nini unaonaje kama ukikaa kimya na uache wengine wafurahie maisha yao kwa amani na wewe ukae na siri zako kwa amani

Mbona unaemda off point sasa?

Je hii mada inahusu habari za kuchangia hoja zetu JF?
 
Shangazi binti kiziwi shikamoo
 
Aminia sana, huo ndo uanaume sasa siyo kila siku mastatus WhatsApp kama shanga halafu yote picha za mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…