Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Introvert hawezi kuishi kama extrovert and vice versa kitu cha muhimu kila mmoja amuheshimu mwenzie(" like we listen or we see but we don't judge")
Mimi binafsi napenda kupost ila mvivu mno naweza capture moment flan matata nasema hii lazime uifukie umma ila nasahau nakuja kukumbuka ata miez imeenda
Na nikiwa nasimu unaweza ukawa unaniona online ukahis na chat kumbe na view status za raia kuanzia meme lords, motivation speakers ,status preachers wazee wa soka wavimbaji wala bata ,heart broken nk
 
Sasa mzee Yani unajitekenya afu unacheka 🤣Yani hapa penyewe unabrag/Kujisifia mwanao Ana A sjui una gari kali Sasa WhatsApp na jamii forum wote sisi watoto wa baba mmoja(social network)
 
Damn it
 
Safi sana
 
Hakika mneni umenena vyema.....
 
sasa ulicho fanya hapo si ni bragging😁😁😁 au shida ni whatsapp status
 
mbona hapa kimsingi umepost tayari ?🤣 maana tumejua possessions zako
 
No 6 ni kitu muhimu sana
 
Ukishaelewa maana ya mitandao ya kijamii. Hutaita mtu mwingine mshamba kwa sababu hajafanya kile unachofikiria wewe. Binafsi yangu hutakuta picha yangu status lakini sijawahi kuona shida watu wengine wanavyoshare moments zao kwenye status.

Jambo la kwanza uelewa mengine huitaji elimu ya degree kutofautisha JF na Whatsapp na uulize kwani kilichofanyika hapa kinatofauti gani na kile kinachoitwa ushamba.
 
Mimi napost hata nikila wali mbegu napost yan ile watu wanavyo comment na kushare mawazo Ndio nainjoi tunapiga story sna tunakumbukana..

Nikiwa nawana mtaani nachangia mada yoyote sikai kimya kwamba wataniona nina vimba nilicho nacho

Mtaani huku ukiwa mtu private sana unaonekana unajidai unamajivuno..

Mimi kwakweli napost atakaye nuna anune atakaye furahi anakoment tunapiga mastori
 
Kingine ukiji-post sana inakuwa rahisi kulogwa (tukumbuke kulogwa siyo lazima mtu akushikie tunguli).

Yupo jamaa yangu tunaheshimiana kinoma siku hiyo mkewe kajifungua mtoto ana masaa tu tayari picha status tena akanipigia na simu nifungue nikaangalie (sinaga kawaida ya kupita huko) aisee jamaa alinishangaza sana nikajua kumbe tupo watu tunaongezeka miili tu vichwani zero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…