Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

Ulichopost
Ulichopost hapa ndio ushamba Wenyewe ambao unajisifu huna, sema wewe umetumia jammiiforum badala ya WhatsApp!!!
 
Wazee mmeamua kupasuka😄 sana leo. Kikubwa uhai tu
 
UKISHAJUA BINADAM TUNATOFAUTIANA HULKA BY NATURE, KAMWE HUWEZI WASHANGAA WENYE HULKA TOFAUTI NA WEWE.
 
Mkuu nafikiri mitazamo yetu inaelekeana, i find it too Odd kuanza kuwa critic wa mambo ambayo watu wanafanya kujifurahisha. Mtu ana uhuru wa kufanya lolote ambalo halijakatazwa na katiba ya nchi yake.😄

Theres nothing wrong with people posting status afterall wana exercise uhuru wao. Definiton ya neno "Status" tu inatosha kuelewa kwa nini watu hujipost kila mahali.
 
Conclusion mhasibu anamiliki

1. Gari kali

2 Degree kali mbili na masters juu bado PHD ya kugongea

3. Watoto genius wenye A tupu

4. Mdogo wake mwachiiibuuu nae anamiliki gari

5. Baby wa mwachibu pisi kali inayopenda kujipost post

6. Mwachibu haongei kiswahili akiwa na baby wake ni mwendo wa baby dont do that

Etc
 
Mbona ulichofanya hapa ni hiyo hiyo misifa ya kihaya 😂😂
 
Muhaya Okwi 😂😂😂😂😂
 
eti baby dont do that

wabongo kwa kusagia kunguni
 
Mungu amekubariki hekima kama Mfalme Suleiman.
Mungu akubariki zaidi kwa kukupa hitaji la moyo wako.
 
Wewe Poor Brain upo tofauti sana na OKW BOBAN SUNZU .
Wewe hapa umeandika kujifagilia kinyumenyume na kifichefiche kama ulivyo mtumiaji mzuri wa kufinya taarifa zako mtandaoni kwa VPN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…