Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

Bado hamjasema
 
wewe Hamia yanga kama diamond,
Unateseka nini??
Kijana mdg na smart, njoo yanga tukuunganishe mpk CCM moja kwa moja upate na teuzi
 
ATTACKING MIDFIELD YA SIMBA NDO ANGUKO LAKE..

CHAMA mjanja sana,,, alishaona mambo yashaanza kumwemdea alijojo akaamua kupigania MKATABA wake wa mwisho wa hela nyingi...

SAIDO wala simlaumu, maana Simba imeamua kumlipa PENSHENI akiwa bado kazini....

KIBU yeye anatembea na NYOTA ya BAHATI ya KUFUNGA ila hana sifa za kuwa mchezaji TEGEMEZI SIMBA hii inayotaka kufika mbali,,, yaani MZIZE aliyekuwa ovyo kamkuta na keshamwacha kwenye kuisaidia timu....


YAANI UNAIANGALIA SIMBA IKICHEZA HALAFU HUONI DALILI WALA MIPANGO YA KUPATA GOLI,, PAMOJA NA KOCHA ILA WACHEZAJI WENYEWE WANAOSAJILIWA AKINA ONANA HATA AKIJA KOCHA GANI HAKUNA MAAJABU...
 
Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??

Yaani kufanya scouting Simba kupata watu wa maana ni mtihani mzito
Upuuzi kabisa wakimleta Nabi...
 
Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??

Yaani kufanya scouting Simba kupata watu wa maana ni mtihani mzito
Nabi alikuwa anabebwa na usajiri mzuri wa Yanga! Huko aliko, tunaona kinachoendelea! Yule msaidizi wake Kaze,naye kaenda Namungo, kilichompata, kakimbia mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…