Mussahboy17
Member
- Sep 30, 2021
- 9
- 45
huwezi amini nimechanganyikiwa au Bachi😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho maofisini muwe makini na mashabiki wa Makolo. Hawako sawa!"Tumechanganyikiwa na kipigo,kwahiyo tulale"
AHMED ALLY.
#FutbalPlanetUpdates
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Within 72hrs from now ( today ) is going to be totally Sacked / Fired by the Club. Just stay tuned to the local airwaves and socia media platforms.Mungu wangu! Yanga tumemponza kocha wao
SelemanWithin 72hrs from now ( today ) is going to be totally Sacked / Fired by the Club. Just stay tuned to the local airwaves and socia media platforms.
wewe Hamia yanga kama diamond,Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Gooooool baleke anapindua goli la tano hapaHuwataki...wewe kama nani ndani ya Simba!?
Kuna watu mnatumia misambwanda badala ya kichwa.
Upuuzi kabisa wakimleta Nabi...Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??
Yaani kufanya scouting Simba kupata watu wa maana ni mtihani mzito
🤣 🤣 🐸 🐸 🐸 🐸
Nabi alikuwa anabebwa na usajiri mzuri wa Yanga! Huko aliko, tunaona kinachoendelea! Yule msaidizi wake Kaze,naye kaenda Namungo, kilichompata, kakimbia mwenyewe!Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??
Yaani kufanya scouting Simba kupata watu wa maana ni mtihani mzito