Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Pole sana Mama, agiza kinywaji chochote ulipo kisha nitumie AC no nikuwezeshe muhamala Mtani 😁Nakuona Kilaza Fc katika ubora wako wa kila siku....hii kazi unaiweza sana mr kilaza(akili mbili fc)
Sio uongozi tu mpaka mashabiki nao wajiudhuru.Uongozi wote ujiuzulu
Mna hela ya kumleta Nabi nyie? labda Nabii mashimoNajua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Nabi anaongoza ligi huko Morocco wana hela ya kuvunja mkataba? wakachukue kocha Ihefu wao si wanataka kocha wa kumfunga YangaNasikia viongozi wa Simba wanamtaka Nabi...
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata Mo energy asepe zake, utapeli tapeli Tu.Anaitumia team kama platform ya kupromote products zake,anaendesha team kubwa Kwa style za kizamani...Toka lini team ikaendeshwa Kwa endorsement account...😡Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Ni mtihani mzito sana yaan.Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??
Yaani kufanya scouting Simba kupata watu wa maana ni mtihani mzito
Sina maumivu..kama yenu ya kufungwa na Ihefu...na zile 6 kwa sufuri za kipindi kile yaliisha...mimi ni nani yasiishe???
Msela nampata huyu kitambo sanaSelemani popoma wamekusikia viongozi
Kwa kweli hua analeta info nyingi tu za uhakikaMkuu wanakusemaga bure tu ila kwa info za uhakika unatisha sanaView attachment 2806724
Umepiga ikulu.Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Viongozi wa Simba walipita kwanza hapa JF, wakasoma forecast ya Gentamycine, kisha waenda kuyakopi na kupaste.Mkuu wanakusemaga bure tu ila kwa info za uhakika unatisha sanaView attachment 2806724