Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.


Kwa hiyo ulizani huo uzoefu amefanya kuzaliwa nao?

Kwamba uzoefu huo hajaupata kupitia Umalaya kwa wanaume tofauti tofauti?

Huyo ni mzoefu katika kutumika na wanaume mbalimbali!
 
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
[emoji23] hiyo hali ilishanikuta mkuu,we piga tu kisela huku unatafuta koloni jipya
 
Kumbe huyo ni demu wako....miez sasa nabebeleza aje gheto lkn haji...

Usiache mwanamke kisa katongozwa binti katongozwa ni kawaida......mfumanie ndiyo umuache
 
kwanini aache hizo sms wakati anajua ana mtu ambaye ni wewe?

na kwanini akuachie simu hapo wakati ana sms hatari kabisa za bwanake mwingine?

hebu nipe namba zake nimuulize😜😜
 
Acha kukalili wapo Wanawake wengi wametulia kwenye mahusiano yao
 
Hutaki ushauri lakini unaupokea mbona?Ukifika hatua ya kulazwa kwa maradhi njoo nikupe ushauri we mvulana!
 
Kwa kawaida unapoanza mahusiano na demu mpya jua kuwa huyo demu anajamaake aidha washaambiana kuwa wanakulana kisela tu ama jamaa aliyenaye kabla yako hanamwelekeo wa kumuoa ila jua mechi za kirafiki zitakuwazinachezwa kama kawaida. Kuachana na huyo wa mwanzo ni mpaka pale atakapojihakikishia uhusiano wenu haunashaka yoyote .
 
Hutaki ushauri lakini unaupokea mbona?Ukifika hatua ya kulazwa kwa maradhi njoo nikupe ushauri we mvulana!
Btw siwezi kuact kwa ushauri wa watu mtandaoni.. kwanza unaweza kukuta wengi wanaoshauri hawana hata dem .. wengine unakuta ni madogo waliopata matokeo ya form 4 juzi. So hapa napunguza stress tu.. maamuzi nitafanya mwenyewe..
 
Sio kwamba huna makando kando Bali huna hela...lazima usinyae tu[emoji848]

Yaan mwanaume mwenye kazi yake na hela zake agundue demu wake analiwa na kumwagiwa na kidume kingine akae atulie tu kwa hicho kinyaa wee thubutuu[emoji1787][emoji1787]
Wanaume tutafuteni hela jamani kwa kweli
 
Nimekoma sirudii tena.. nitakuja kukagua simu ya mtu ninaetaka kumuoa nisije ingia kwenye ndoa na mtu mwenye michepuko
Mkuu wewe nae mtu wa ajabu sana. Kumbe huna hata mpango wa kumuoa afu unataka aishi na wewe kizombi zombi ?? Umemuona demu huyo mjinga etiii? Kwa taarifa Yako anafahamu kabisa kuwa wewe ni mpitaji TU na ndo maana anaishi kimachale . Ulivyo mjinga K yenyewe unapewa kisela afu unataka umiliki 100% !!

Wanaume wengine hasara kabisaaa. Unatumia zero cost kwa demu afu bado unataka uwe pekee Yako !!.
 
Naunga mkono hoja
 
Haya mambo omba yasikukute.. mtu anakufanyia ushenzi halafu huna guts za kumuacha... sema kuna siku yake nitakachomfanyia atasimulia.
True Gentleman! hawanaga mambo kama haya, Achana na hilo wazo la 'nitakachomfanyia'.

Maadam hakufai, achana naye kiustaarabu itakapofika wakati wa kufanya hivyo, Mpe heshima yake anayostahili, na sio kumuacha kwa vituko na kumwachia maumivu.
 
EndeLEA Kupiga mpaka uchumi ukae vizuri ukishapata mwingine unaingia kwenye ule uchochoro mpaka kw mama J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…