Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Umeona wapi hii mikopo ya riba asilimia 80 inamnufaisha mtu!??
Bro riba asilimia 80!?
Kama hakika loan nilikopa 50k na wakataka nirudishe 90k.
Sawa ukope laki tano halafu urudishe laki tisa imekaa sawa??.
Nimekupata vizuri.
Kama ndivyo basi hatuna serikali ya wananchi kwenye hili taifa.

Watu wanapigwa kwa sababu ya shida zao...sirikali kimya.
Mbaya sana.
 
Sasa itasaidia nini wakishanitengenezea Hilo group la what's app??
nilicomment kule kwa jamaa wa absa kuwa mbongo huwa anaenda kukopa ili asilipe halafu baadaye tunalalamika kwa nini bank za kawaida zinaweka vigezo vigumu, mara mali isiyohamishika n.k. ni kwa sababu mbongo ukimkopa bila kuwa na mali yake ambayo hawezi kuichukua hakulipi.
 
nilicomment kule kwa jamaa wa absa kuwa mbongo huwa anaenda kukopa ili asilipe halafu baadaye tunalalamika kwa nini bank za kawaida zinaweka vigezo vigemu, mara mali isiyohamishika n.k. ni kwa sababu mbongo ukimkopa bila kuwa na mali yake ambayo hawezi kuichukua hakulipi.
Sio hivo mkuu mbona nilikuwa nawakopa na kuwalipa ni vile tu mambo yangu yapo zigzag ila nia yakuwalipa ninayo
 
Back
Top Bottom