- Thread starter
- #141
Uliwalipa?Mbona Mimi waliishia kunipigia Simu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwalipa?Mbona Mimi waliishia kunipigia Simu tu
Nimekupata vizuri.Umeona wapi hii mikopo ya riba asilimia 80 inamnufaisha mtu!??
Bro riba asilimia 80!?
Kama hakika loan nilikopa 50k na wakataka nirudishe 90k.
Sawa ukope laki tano halafu urudishe laki tisa imekaa sawa??.
Familia nyangu naijua mwenyewe mkuu mpaka nimeamua kukopa Ili kubind na ku print research yangu nilikosa msaada Wa familiaKama familia mnapendana atatokea ndugu yako mmoja akulipie
nilicomment kule kwa jamaa wa absa kuwa mbongo huwa anaenda kukopa ili asilipe halafu baadaye tunalalamika kwa nini bank za kawaida zinaweka vigezo vigumu, mara mali isiyohamishika n.k. ni kwa sababu mbongo ukimkopa bila kuwa na mali yake ambayo hawezi kuichukua hakulipi.Sasa itasaidia nini wakishanitengenezea Hilo group la what's app??
Nia ninayo mkuu shida ela sinaWe usilipe maana ndio nia yako ila na wao wakikukomoa usije na uzi hapa wa kulia lia na kuomba ushauri wa kisheria
Nipe link niwalize hao watuNAJUTA Mimi jamani najutaaa
Hatari mkuu sio powaHili suala la mikopo ni pasua kichwa kabisa.
Ukiona mpaka wamekupa washasave cont zote hata ufute wanazo...Au nifute namba zote😒
Sio hivo mkuu mbona nilikuwa nawakopa na kuwalipa ni vile tu mambo yangu yapo zigzag ila nia yakuwalipa ninayonilicomment kule kwa jamaa wa absa kuwa mbongo huwa anaenda kukopa ili asilipe halafu baadaye tunalalamika kwa nini bank za kawaida zinaweka vigezo vigemu, mara mali isiyohamishika n.k. ni kwa sababu mbongo ukimkopa bila kuwa na mali yake ambayo hawezi kuichukua hakulipi.
AiseeUkiona mpaka wamekupa washasave cont zote hata ufute wanazo...
KumbeNa ukiwa na cont chache awakupi mkpo
Watawajua Tena Kuna Jamaa AlikopaNdugu zangu watawajuaje😅
Polee sana mkuuAisee
Kushindwa kulipa jambo moja, ila kujisifu kwa kutolipa ndilo jambo zaidi.... by the way hao wakopaji wa mtandaoni hawafai ni vile tu shida hazina mwenyewe.Sio hivo mkuu mbona nilikuwa nawakopa na kuwalipa ni vile tu mambo yangu yapo zigzag ila nia yakuwalipa ninayo
ASante mkuu ndo maishaPolee sana mkuu