Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Wazinzi mmekutana apo
 

Hili ni funzo kubwa....sio kila demu wa kumla.

Wengine wabaki kama marafiki wa faida tu, no matter what.
Kwanza wazuri wanazaliwa kila siku. Ila marafiki wa faida ni wachache sana.
 
Hili ni funzo kubwa....sio kila demu wa kumla.

Wengine wabaki kama marafiki wa faida tu, no matter what.
Kwanza wazuri wanazaliwa kila siku. Ila marafiki wa faida ni wachache sana.
Ndicho kinachoniuma
 
Una unachotaka kufanya hapa.kuna harufu ya ulaghai kwa wanawake.unatafutaje rafiki wa kike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…