Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Mbona ulipoamua kufanya hukutangaza? Unatangaza sasa ili iweje? Ulimbukeni wa siku hizi sina hamu.
 
Alisema mtumishi wa Mungu mmoja ni maarafu na amekaa kwenye tasnia ya dini kwa muda kidogo namfuatilia sana,alisema hivi hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume haijawahi tokea mkadumu kwneye urafiki tuuuuu 🤔inafikirisha
 
Wewe ni mkware,kama umemla nyote mlisahau na muendelee na urafiki tu
 
Alisema mtumishi wa Mungu mmoja ni maarafu na amekaa kwenye tasnia ya dini kwa muda kidogo namfuatilia sana,alisema hivi hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume haijawahi tokea mkadumu kwneye urafiki tuuuuu 🤔inafikirisha
Huenda yuko sahihi
 
Chai
 
Mkuu hapo wote mlikua mnahitajiana ila mlishindwa kwa kuanzia.

Vipi lakini ulikumbuka kinga kweli au uliuza mechi?
 
Kwan lazima uwe na rafiki wakike, humu JF bhana kuna watu ukiwaz huelewi kama tupo dunia moja au wanatokea PLUTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…