Hujanielewa mkuu,ninachomaanisha mazingira ya kibiashara hapa Tanzania hayapo rafiki kama mdau Bilgert alivyomaanisha. Kuna watu kibao unagawana nao unachokipata either kihalali au siyo kihalali ili uweze kufanya biashara. Maisha bado ni ya kubahatisha sana,hivyo huwezi kuwa 100% sure kama milioni kumi uliyotakiwa kujengea nyumba au kununua kiwanja itakutoa ukiingiza katika biashara.Naona unasubiri bil.100 uanzishe kiwanda mkuu,si hautaki uchuuzi.
Keep dreaming.
Ahahahahahah..Watumishi wa serikali ni zaid ya kuwa mwalimu chief..Kwahiyo mke wako ni mwalimu?
Asset zinazogenerate constant cashflow ya kukusaidia wewe kuishi mjini.Assets sindio kama hivyo viwanja sasa na nyumba tukinunua mnatucheka [emoji23]
Kuna mtu ana hardware namfahamu, tena ipo kibaha huko. Ana revenue ya 800K per day. Profit ya almost 150K per day.Sometimes huwa nashangaa sana JF. Biashara ya 200k kwa siku imekuwa kitu cha ajabu?
Watu inabidi watembee,wasikae tu ofisini na mitandaoni kusema vitu haviwezekani. Biashara ni kujituma.Kuna mtu ana hardware namfahamu, tena ipo kibaha huko. Ana revenue ya 800K per day. Profit ya almost 150K per day.
Ni chalii ameanza hiyo biashara miaka 6 iliopita.
Au ni bibi afya wa kata? Maana anasema ameamia huko ili iwe karibu na kazini kwa mke wake, kwa uzoefu wangu mke wake atakuwa muajiriwa wa manispaa au Tamisemi huko ndiko kuna post za vijijini na pembeni ya miji.Ahahahahahah..Watumishi wa serikali ni zaid ya kuwa mwalimu chief..
Tuanzie hapa kwanza mkuu,una watoto?Asset zinazogenerate constant cashflow ya kukusaidia wewe kuishi mjini.
Kununua kiwanja ni kuzika hela. Manake haikuingizii kipato.
Ahahahah Mkuu hujui huku kuna halmashaur ya mji ambayo inaratibu mambo mbali mbali like..Kuna district commision offices..Kuna Uhamiaji..Kuna Takukuru...Kuna ofis za Maliasili.. kuna distric hospital... kuna police posts... n.k n.k huko koote anakosekana kupata post mkuu???Au ni bibi afya wa kata? Maana anasema ameamia huko ili iwe karibu na kazini kwa mke wake, kwa uzoefu wangu mke wake atakuwa muajiriwa wa manispaa au Tamisemi huko ndiko kuna post za vijijini na pembeni ya miji.
Tatizo watu Humu asilimia kubwa wanadhan kila MTU aliemo humu Ni rika LA Stori VijiweniKuna mtu ana hardware namfahamu, tena ipo kibaha huko. Ana revenue ya 800K per day. Profit ya almost 150K per day.
Ni chalii ameanza hiyo biashara miaka 6 iliopita.
Mkuu usichulie poa, huko mikoani na vijijini ndio hela ilipo.. Dar watu wamekaba kila fursa, unahitaji mtaji wa kutosha kuingia kwenye mbilingembilinge za Dar..
Kahama,Geita, Katoro,Nzega hiyo miji mzunguko wa hela ni mkubwa na kama unacheza karata zako vizuri uwezo wa kuingiza 200K kwa siku upo... Hiyo 200K mbona hata Dar au Mwanza ukicheza draft yako vizuri unaipata??
.
Na kweli mkorintho kamaliza kila kitu...!hii ni chitchat tu mkuu...potezea.tunajipa ahuen ya maisha haps
Mkuu, kiwanja kama unanunua kwa watu wa manispaa ndo utakuja kuongelea hayo mambo ya bei elekezi.Mkiitwa mazuzu msiwe mnabisha, heka 1 ni 70×70 = 4900 Sqm.
Let's say 10,000/= per square meter times 4900 = 49,000,000/=
Hiyo ni bei ya kigamboni au kama una muda uliza wizarani bei elekezi kwa kila sehemu, naandika haya kama mtaalam wa real estate. Mnapigwa kifala sana.
Wahenga wanasema tembea uone.Mimi sizungumzii turnover, nazungumzia faida ya 200k kwa siku sio mchezo
Ipo siku tutakula bata pamoja, i promise
Niliposema Mimi ñi mbobezi wa real estate nilimaanisha sikubeep, nilipoandika kuhusu bei elekezi ni kuwapanuwa watu wasiokuwa na uelewa juu ya mambo haya.Mkuu, kiwanja kama unanunua kwa watu wa manispaa ndo utakuja kuongelea hayo mambo ya bei elekezi.
Ila kwa watu binafsi, Ni kukaa mezani kujadili bei maelewano.
Katika sehemu zenye mzunguko wa hela hapa nchini, KIGAMBONI bado ni porini.
Hizo bei wanazonunua NSSF na NHC zisikutishe.
Pale kariakoo, Mwaka Jana kuna jamaa kanunua eneo (hatua 10 kwa hatua 15) kwa Tsh 1.8billion.
Gharib wa juz tu nae kamvua Mtu kiwanja pale CHALINZE mjini kwa million 510.
Kwahyo,
Sio vitu vya kushangaa maana MTU anajua kabisa ile ela lazima itarudi tu kutokana na alivyojipanga.
Kikubwa tu ni kuheshimu maamuz ya mtu
Wahenga wanasema tembea uone.
brother small mind discuss people....nadhan kuna point ndo maana ye hajajiwekea hayo masifa unayompaHumu kuna jamaa mmoja maarufu sana kule jukwaa LA betting na mpenzi sana Basketball.
Nliwahi kukutana nae na kumtembelea, Ana biashara ya Kuuza Trekta from Finland,China &UK tangu 2009.
Ana yadi yenye trekta finished zisizopungua 80 kabisa hapa mjini pamoja workshop ya kutengenez vipuri vya Trekta.
Wahindi ndio wanaongoza kwa real estate business tz,wanajenga ma villa na apartments na estatesWahindi sio kwamba hawataki kujenga. Ila wao hawana uraia wa mtu mweusi kwao ni India/Uk au Canada. Ndo maana hawajengi bongo maana wanajua mtu mweusi akili yetu ilivyo hamchekewi kupigana wenyewe kwa wenyewe ndo maana mfuko wa nyuma ana Passport ya nchi ya Mbele kikinuka anachukua begi tu anasepa anakuwa hana muda wa kuwaza nyumba.
Sasa wewe mtz asilia una ardhi ya kutosha halafu usiwe na nyumba kisa muhindi hana.