Mkuu, kiwanja kama unanunua kwa watu wa manispaa ndo utakuja kuongelea hayo mambo ya bei elekezi.
Ila kwa watu binafsi, Ni kukaa mezani kujadili bei maelewano.
Katika sehemu zenye mzunguko wa hela hapa nchini, KIGAMBONI bado ni porini.
Hizo bei wanazonunua NSSF na NHC zisikutishe.
Pale kariakoo, Mwaka Jana kuna jamaa kanunua eneo (hatua 10 kwa hatua 15) kwa Tsh 1.8billion.
Gharib wa juz tu nae kamvua Mtu kiwanja pale CHALINZE mjini kwa million 510.
Kwahyo,
Sio vitu vya kushangaa maana MTU anajua kabisa ile ela lazima itarudi tu kutokana na alivyojipanga.
Kikubwa tu ni kuheshimu maamuz ya mtu