Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Naona unasubiri bil.100 uanzishe kiwanda mkuu,si hautaki uchuuzi.

Keep dreaming.
Hujanielewa mkuu,ninachomaanisha mazingira ya kibiashara hapa Tanzania hayapo rafiki kama mdau Bilgert alivyomaanisha. Kuna watu kibao unagawana nao unachokipata either kihalali au siyo kihalali ili uweze kufanya biashara. Maisha bado ni ya kubahatisha sana,hivyo huwezi kuwa 100% sure kama milioni kumi uliyotakiwa kujengea nyumba au kununua kiwanja itakutoa ukiingiza katika biashara.
 
Kila kitu kinakuwa na changamoto unapoanza komaa mkuu. Taratibu utaanza kuzoea mazingira. Fikiria kuanzisha miradi km ufugaji wa kuku, ng'ombe au hata nguruwe. Miradi hiyo itasaidia kuajiri watu ambao pia watakuwa walinzi wako halafu itakuongezea kipato. Asubuhi utakapo kuwa unaondoka unabeba na mayai au maziwa, ambako utakuwa umepata soko lake huko mjini. Hiyo itasaidia kupunguza au kuondoa kabisa gharama za usafiri kuwa sifuri!
 
Ahahahahahah..Watumishi wa serikali ni zaid ya kuwa mwalimu chief..
Au ni bibi afya wa kata? Maana anasema ameamia huko ili iwe karibu na kazini kwa mke wake, kwa uzoefu wangu mke wake atakuwa muajiriwa wa manispaa au Tamisemi huko ndiko kuna post za vijijini na pembeni ya miji.
 
Au ni bibi afya wa kata? Maana anasema ameamia huko ili iwe karibu na kazini kwa mke wake, kwa uzoefu wangu mke wake atakuwa muajiriwa wa manispaa au Tamisemi huko ndiko kuna post za vijijini na pembeni ya miji.
Ahahahah Mkuu hujui huku kuna halmashaur ya mji ambayo inaratibu mambo mbali mbali like..Kuna district commision offices..Kuna Uhamiaji..Kuna Takukuru...Kuna ofis za Maliasili.. kuna distric hospital... kuna police posts... n.k n.k huko koote anakosekana kupata post mkuu???
Halaf kingine huju sio kijijin mkuu.Ni halmashaur ya mji bob..
 
Kuna mtu ana hardware namfahamu, tena ipo kibaha huko. Ana revenue ya 800K per day. Profit ya almost 150K per day.

Ni chalii ameanza hiyo biashara miaka 6 iliopita.
Tatizo watu Humu asilimia kubwa wanadhan kila MTU aliemo humu Ni rika LA Stori Vijiweni

Humu kuna watu wanabiashara kubwa sana.

Binafsi kuna watu wawili humu Ni Wafanyabiashara wakubwa sana na huwez dhania.

nilifahamiana nao humu humu kibiashara na mpk sasa tunafanya biashara mara kwa Mara.

Ofisi zao by minimum mauzo kwa Siku hayapungui milioni 20 tena halo nahisi hali inapokua mbaya.

Mana kuna kipindi ukifika ofsini utakuta MTU mmoja tu, kakaa anaandikiwa Oda ya milioni 15 - 30.

Sasa MTU kama uyo ukihoji faida ya LAKI MBILI kwenye mauzo ya milioni 50 kwa siku utaonekana kichaa.
 
Mimi sizungumzii turnover, nazungumzia faida ya 200k kwa siku sio mchezo
Mkuu usichulie poa, huko mikoani na vijijini ndio hela ilipo.. Dar watu wamekaba kila fursa, unahitaji mtaji wa kutosha kuingia kwenye mbilingembilinge za Dar..

Kahama,Geita, Katoro,Nzega hiyo miji mzunguko wa hela ni mkubwa na kama unacheza karata zako vizuri uwezo wa kuingiza 200K kwa siku upo... Hiyo 200K mbona hata Dar au Mwanza ukicheza draft yako vizuri unaipata??
 
Mkiitwa mazuzu msiwe mnabisha, heka 1 ni 70×70 = 4900 Sqm.

Let's say 10,000/= per square meter times 4900 = 49,000,000/=

Hiyo ni bei ya kigamboni au kama una muda uliza wizarani bei elekezi kwa kila sehemu, naandika haya kama mtaalam wa real estate. Mnapigwa kifala sana.
Mkuu, kiwanja kama unanunua kwa watu wa manispaa ndo utakuja kuongelea hayo mambo ya bei elekezi.

Ila kwa watu binafsi, Ni kukaa mezani kujadili bei maelewano.

Katika sehemu zenye mzunguko wa hela hapa nchini, KIGAMBONI bado ni porini.

Hizo bei wanazonunua NSSF na NHC zisikutishe.

Pale kariakoo, Mwaka Jana kuna jamaa kanunua eneo (hatua 10 kwa hatua 15) kwa Tsh 1.8billion.

Gharib wa juz tu nae kamvua Mtu kiwanja pale CHALINZE mjini kwa million 510.

Kwahyo,
Sio vitu vya kushangaa maana MTU anajua kabisa ile ela lazima itarudi tu kutokana na alivyojipanga.

Kikubwa tu ni kuheshimu maamuz ya mtu
 
Mkuu, kiwanja kama unanunua kwa watu wa manispaa ndo utakuja kuongelea hayo mambo ya bei elekezi.

Ila kwa watu binafsi, Ni kukaa mezani kujadili bei maelewano.

Katika sehemu zenye mzunguko wa hela hapa nchini, KIGAMBONI bado ni porini.

Hizo bei wanazonunua NSSF na NHC zisikutishe.

Pale kariakoo, Mwaka Jana kuna jamaa kanunua eneo (hatua 10 kwa hatua 15) kwa Tsh 1.8billion.

Gharib wa juz tu nae kamvua Mtu kiwanja pale CHALINZE mjini kwa million 510.

Kwahyo,
Sio vitu vya kushangaa maana MTU anajua kabisa ile ela lazima itarudi tu kutokana na alivyojipanga.

Kikubwa tu ni kuheshimu maamuz ya mtu
Niliposema Mimi ñi mbobezi wa real estate nilimaanisha sikubeep, nilipoandika kuhusu bei elekezi ni kuwapanuwa watu wasiokuwa na uelewa juu ya mambo haya.

Kuifananisha kibaha na kikamboni watu wenye akili watakuchekabna kigamboni sasa hivi kuna daraja.

Kiwanja pekee Halmashauri ya Kibaha chenye samani kubwa ni pembeni ya barabara ya Morogoro kwa ajili ya uwekezaji mbalimbali hasa Filling station.

Usije ukaifananisha Kigamboni na Kibaha utachekwa labda umeandika haya kujifurahisha tu na siyo uhalisia.

Unapoongelea Kariakoo ni kwamba hujui hata ulisemalo, kariakoo unaweza kumuuzia mtu hats roof tu aongeze ghorofa juu kwa bei kubwa, kariakoo ni issue nyingine kiwanja kimoja kinaweza kumilikiwa hata na watu 100.
 
Humu kuna jamaa mmoja maarufu sana kule jukwaa LA betting na mpenzi sana Basketball.

Nliwahi kukutana nae na kumtembelea, Ana biashara ya Kuuza Trekta from Finland,China &UK tangu 2009.

Ana yadi yenye trekta finished zisizopungua 80 kabisa hapa mjini pamoja workshop ya kutengenez vipuri vya Trekta.
brother small mind discuss people....nadhan kuna point ndo maana ye hajajiwekea hayo masifa unayompa
 
Wahindi sio kwamba hawataki kujenga. Ila wao hawana uraia wa mtu mweusi kwao ni India/Uk au Canada. Ndo maana hawajengi bongo maana wanajua mtu mweusi akili yetu ilivyo hamchekewi kupigana wenyewe kwa wenyewe ndo maana mfuko wa nyuma ana Passport ya nchi ya Mbele kikinuka anachukua begi tu anasepa anakuwa hana muda wa kuwaza nyumba.
Sasa wewe mtz asilia una ardhi ya kutosha halafu usiwe na nyumba kisa muhindi hana.
Wahindi ndio wanaongoza kwa real estate business tz,wanajenga ma villa na apartments na estates
 
Back
Top Bottom