Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Wewe ndiye unaona hivyo, mwenye gari anafanya hivyo mwaka wa pili sasa na gari ipo vizuri sana.Kupakia watu saba kila siku kwenda na kuridi ni kuchosha gari tu for nothing
Na alinunua gari kubwa (Alpard) sababu aliamini ni kubwa haiwezi kuelemewa na uzito wa watu pekee kama vile sienta au noah.