Najuta kuhamia kwangu Kerege

Ishu si gharama kijana tayari umejenga iyoo ni jambo LA kushukuru kwanza kama unapesa tafuta mifugo uiweke apo na ulianzi ambao ni mguu wa kuku ambao utakuwa ulinzi kwako tena ongeza na kaeneo kingine tafuta biashara maisha yaendelee. Usiache kunywa pombe kwa kukwepa gharama ongeza vyanzo vya mapato unywe pombe bila stress
 


Hahhaha mkuu unapenda sana maisha mazuri unavyoonekana..haaha stress free!yes..atafte ht vi mpesa vimpe walai 300k mothly!au vigrosare..!ila dar grosary ni nyingiii😋😋
 
Wewe ndiye unaona hivyo, mwenye gari anafanya hivyo mwaka wa pili sasa na gari ipo vizuri sana.

Na alinunua gari kubwa (Alpard) sababu aliamini ni kubwa haiwezi kuelemewa na uzito wa watu pekee kama vile sienta au noah.
Okey..tho kwa maeneo hayo am sure 100% ataichosha hiyo gari.
 
Wewe ndiye unaona hivyo, mwenye gari anafanya hivyo mwaka wa pili sasa na gari ipo vizuri sana.

Na alinunua gari kubwa (Alpard) sababu aliamini ni kubwa haiwezi kuelemewa na uzito wa watu pekee kama vile sienta au noah.


Umeandika hy Alphard nikasisimka...hahhaha gari traamu!
Depal gari yetu😍
 
Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ww dada mbona unatutisha?
 
Ubarikiwe, ushauri bora kabisa huu. Mimi nimejenga kibamaba sasa natamani kuhamia kongowe soga maana hapa pamekuwa mjini sasa. Asiuze atakuja kujuta daima.
 
Okey..tho kwa maeneo hayo am sure 100% ataichosha hiyo gari.
Kivipi? Hakuna mlima, lami hadi anapofika anatembelea mchanga kama mita 150 tu! Anawashushia hapo Stesheni

Kifupi ingekuwa madai yako yanaukweli kwa muda aliotumia ingeshachoka!

Kikubwa gari ni service ya hali ya juu kwa kuangalia garage nzuri yenye vifaa na wataalam wenye weledi!
 
Ushauri mzuri pia...ww ni mtu wa 2/kuongea hv...kuna boda amenishauri hii kitu...kahama to ushirombo🤔!

Tahadhari::: fanya kama unayajua magari na unaweza kusimamia kwa karibu, vinginevyo achana na hiyo kitu - najua nimeshawahi na nafanya biashara hiyo..

Hiyo route ya Khm - Ushirombo inalipa lakini gari ipo kwenye risk kubwa hasa hivyo vihiace wanakimbia sana na competion kubwa..
Kama uko vizuri tafuta Tata bus la hata 40mil lipeleke Geita - Kakola - Nzega, litafutie gepu la asubuhi na jioni ligeuke..Kahama to Tabora nako sihaba ..

Narudia tena:: biashara ya magari inahitaji roho ngumu, uvumilivu, ukaribu wa biashara, roho mbaya kwa madereva na makonda, uyajue magari na tabia zake..
 
unadhani hapo posta na karibu yake patatosha watu milioni 7 miaka miwili ijayo!!!

yeye kama anajiona kakosea sana auze,halafu miaka 15 baadae atajikuta anatafuta kiwanja chalinze ili awe anawahi kazini[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tafuta mtaalam wa aquaculture akufundishe kufuga samaki. Tafuta mtu ya kukaa kwenye hiyo nyumba uwele mradi wako wa kufuga samaki. Wewe rudi huko Sinza ulikozoea! Kama maji siyo taabu kuyapata chimba kisima chako hapo jaza kwenye bwawa, weka Tilapia wako wa kutosha kila baada ya miezi 4 unavuna! Huko ni pa kulima siyo kuishi!
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…