Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 789
- 4,640
Rudia kusoma kwa umakini ndugu labda utaelewaTangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Acha Uchochezi, Wananchi ndiyo wameichagua CCM na CCM inafanya kazi kwa niaba ya Wananchi,Kama kuna Wazembe huko ma officini wacha wawajibishwe!!Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Soma uelewe kwanza ndipo ujibu, ndio nyie mnaosoma kichwa cha muhtasali na kusaini bila kujua ndani inasemajeTangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Kweli JF imevamiwa siku hizi!Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Balaa zito.Mchakato wa 7 uko jikoni
Huipiganii CCM ili ije ikulipe Fadhila kwa Juhudi zako, ila unaipigania CCM ili ije ilete Maendeleo Chanya kwa Watanzania wote na Nchi ipige hatua.Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Hakuna haja ya kuondoa ukomo wa Urais, tayari amekwisha choka hoi bini taabani ndo maana alihitaji kubebwa kwa mbeleko kuingia madarakani hata safari hii wala push-up hakuweza kufanya. Karibuni Mungu atampenda zaidi maana ni mpenzi wa Mungu aliye hai!"tuondoe tu ukomo wa Urais, Atawale hadi atapochoka mwenyewe"
Walisikika wapigania chama cha chanikiwiti wakati wa kampeni
Hata wewe huna amani, ongea yako tu inakushuhudia. Pole sana kwa hatia.Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
ACT, CCM ni watakatifu wa bwana yule.Hivi wakurugenzi wanaonunua magari ya kifahari ni Chadema?
Soma tena. Inaonekana hujaelewa. Yeye ni reporter wa mtu mwingine, siyo yeye anayetamka maneno hayo.Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Hakuna DSO mwenye ubavu huo, ni wepesi mno maana wanahukumiwa na nafsi zao.Magu akiwagusa maDSO atakuwa anataka kujilipua maana hao ndio wanamuweka mjini
Alisikika mchumia tumbo mmoja anayeishi kwa fadhila za mbunge wa ccm aliyepitishwa bila kupingwa.Acha Uchochezi, Wananchi ndiyo wameichagua CCM na CCM inafanya kazi kwa niaba ya Wananchi,Kama kuna Wazembe huko ma officini wacha wawajibishwe!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app