mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Hakuna mzee lipua usiache mtu atakae kaa kweny e sita zako piga golini hakuna kipaNa wewe ni mukurugenzi...!?
Mmmh Tena hahahahahaMchakato wa 7 uko jikoni
HahahahahahahahahaaHakuna haja ya kuondoa ukomo wa Urais, tayari amekwisha choka hoi bini taabani ndo maana alihitaji kubebwa kwa mbeleko kuingia madarakani hata safari hii wala push-up hakuweza kufanya. Karibuni Mungu atampenda zaidi maana ni mpenzi wa Mungu aliye hai!
Hayo matatizo yako ,nani aliyekutumaNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Kwann isaidiwe kushinda kama nayo si mbovu mkuu?Ubovu wa ccm usiwe ndio mwanya wa watendaji kuharibu kazi.
Kuisaidia ccm ishinde hakuhalalishi utendaji mbovu na uzembe...kama hikidhi viwango basi, vuna ulichopanda.
CCM ni shukrani ya punda mkuuNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Huo ndiyo mshahara wa dhambi ya uchafuzi. Wacha walipie matendo yao.Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Unajivunia uchafuzi na wizi? Kweli ahera iko kwa ajili ya wengi.Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
Premature green imbecile , tumeccm ,policcm , tissccm , mahakamaccm vinasaidia chama gani ? Tumia hata akili ya ng'ombe kuutikisa mkia na sio mkia kumtikisa ng'ombe .Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Huo ni mwanzo tu,yanayofuata yanasikitisha sana.Dhambi ya usaliti haiwezi kumwacha yeyote salama. Waliowasaliti wapiga kura sasa kibao kimewageukia.Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Tupe maoni yako.Kwani siku hizi Chadema bado ipo?
Uchaguzi umeisha Chadema na wenzenu acheni uchochezi na propaganda za kitoto.Imekula kwenu kwa umbea huu hadanganyiki mtuNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Ili zile akili zawajipendekezao zirudi kwenye reli.Kama ulijitoka akili ni kwa ujinga wako.Huu mwaka hakuna raha...hatufanyi kazi za kulipa fadhila...
Hata kama sii kwenu,wote tunawajibiba kwa upumbavu wa wachache.Uchaguzi umeisha Chadema na wenzenu acheni uchochezi na propaganda za kitoto.Imekula kwenu kwa umbea huu hadanganyiki mtu
Kama hayo yote mngeyajua kama nikweli, kwanini mlikubali kuingia kwenyekinyanganyiro cha uchaguziii? Achenikubwabwajaa tuuuu. Tutawagaragaza tena 2025. Wembe niuleuleeePremature green imbecile , tumeccm ,policcm , tissccm , mahakamaccm vinasaidia chama gani ? Tumia hata akili ya ng'ombe kuutikisa mkia na sio mkia kumtikisa ng'ombe .