Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,747
- 998
Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaataWANA CCM TUNAISHI NAO MITAANI.WENGI NI CHOKA MBAYA! Wakiomba hata 500 huwaambia wakaombe kwa bashiru,ajabu hata hawamjui. Nini tatizo? UMBUMBUMBU!
Matusi hapo ufipani ndo ilani yenu ya uchaguzi kila mwakaa.
Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaata
Usijumuishe watu kwenye kujuta kwako , si wote wanaolalamika Kama wewe,jitamke wewe Kama wewe na bilashaka wewe ulikuwa unaishi kwa ujanja ujanja wakati wa tawala za miaka ya nyuma,imekula kwako,fanya kazi acha kulalamika ,nchi inakwendaHata kama sii kwenu,wote tunawajibiba kwa upumbavu wa wachache.
Tena tutawaangamiza kifo Cha Mende ili iwe furaha kwa Nyenyere(Sisimizi)Kama hayo yote mngeyajua kama nikweli, kwanini mlikubali kuingia kwenyekinyanganyiro cha uchaguziii? Achenikubwabwajaa tuuuu. Tutawagaragaza tena 2025. Wembe niuleuleee
Mwambie akome na ataisoma namba zaidi ya hapo ,Mwambie serikali ya CCM inayoongozwa na Rais JPM haiilindi wezi,wabadhirifu,wavivu wala wachumia tumbo Kama alifanya makosa akitegemea kulindwa imekula kwakeNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Matusi ndo akili zenu inawaza tuuu apo makao makuu ufipaniWw ni Chakubanga tu,hakuna hata anaekujua hapo kazi kujishebedua tu
Kiwanda cha matusi hapo ufipani. HongereniiiKwel ww n nguchiro na zumbukuku
Wote tupo hapa bongo,tunafahamiana.Kama unawafahamu wana CDM wa aina hiyo sawa ila namba zinasomeka pande zote.Wengine ndo hao wamepewa siku 7! Sijui nao ni wana CDM????!!!!!Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaata
Kwani mtaa wa kijani yale ya rejareja hamyakumbukiKiwanda cha matusi hapo ufipani. Hongereniii
Namba mlizisoma hapo ufipaniii kwa kugaragazwa kichapo cha umbwa koko. Wana ccm kwetu nishangweeee.Wote tupo hapa bongo,tunafahamiana.Kama unawafahamu wana CDM wa aina hiyo sawa ila namba zinasomeka pande zote.Wengine ndo hao wamepewa siku 7! Sijui nao ni wana CDM????!!!!!
Namba mlizisoma hapo ufipaniii kwa kugaragazwa kichapo cha umbwa koko. Wana ccm kwetu nishangweeee.Wote tupo hapa bongo,tunafahamiana.Kama unawafahamu wana CDM wa aina hiyo sawa ila namba zinasomeka pande zote.Wengine ndo hao wamepewa siku 7! Sijui nao ni wana CDM????!!!!!
Sky Eclat upo?Ni hivi, hata wale waliouzwa utumwani baada ya kukubali kufungwa minyororo ma bwana wakubwa walijiona wana haki zote kuhusu maisha yao. Midhali walidhurumu ushindi kimabavu sasa hivi wanajiona wana haki zote juu ya maisha ya Watanzania.
Muda utafika tu lugha utabadili bila shuruti.Wenzio wengi walikuwa wabishi kama wewe ila sasa wameanza kugutuka japo wamechelewa.Namba mlizisoma hapo ufipaniii kwa kugaragazwa kichapo cha umbwa koko. Wana ccm kwetu nishangweeee.
Hujatengeneza kiki ya kutishiwa ili nawewe utimukie CANADA kukwepa aibu ya kugaragazwaa???Muda utafika tu lugha utabadili bila shuruti.Wenzio wengi walikuwa wabishi kama wewe ila sasa wameanza kugutuka japo wamechelewa.
Niko "smart" kuzidi watishaji!Hujatengeneza kiki ya kutishiwa ili nawewe utimukie CANADA kukwepa aibu ya kugaragazwaa???
polepole basha wakoCcm baba lenuu