Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Haina noma bro!! Ila jitahidi kuweka mbele rational decisions than emotions.Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.
Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
Kuna mama mmoja namfahamu amewahi kaa jela miaka kadhaa kisa mtoto alikula chakula kwake akafariki, ikasadikika amewekewa sumu.Sijaruhusu huo ujinga Yani mtoto wa jirani aje nyumbani kwangu halafu awekewe chakula chake MWENYEWE? Akipata madhara ? Utaambiwa umemuwekea sumu kwenye chakula. Waswahili watu WA hovyo sana mkuu Bora wakuone Una roho mbaya kuliko kushirikiana nao kwenye baadhi ya mambo
Inaoendeza. Nakukumbusha tu akiba haiozi, ukiwa unaandika mambo uwe unaweka akiba ya maneno.Sawa
Moderator naomba hii comment muiweke Chini ya Uzi wangu kama the most best response to my threadKuna mama mmoja namfahamu amewahi kaa jela miaka kadhaa kisa mtoto alikula chakula kwake akafariki, ikasadikika amewekewa sumu.
Haya mambo bwana, Kuna dogo mmoja I know him also. Alikua anacheza na wenzake akaokota kopo la sumu akidhan juis akaipiga akafa uzuri kopo lilionekana, vinginevyo alikua anaenda jela mtu mazima.
Huruma nayo saa nyingine Ina cost sana japo ndo tumeandikiwa.
Siku hizi matapeli wanatembelea mwanya wa huruma na utu wa mtu mwisho wanakuliza. Mtu anajifanya Hana simu anaazima smart yako aongelee kumbe ndo anaamsha nayo dah! Ulimwengu umebadilika Sana.
Mkuu ...duui...kumbe hujaoa! Pole hapokuna mtu anataka kumpindua huyo beki tatu...wakaona Kuna ombwe watoto 3 halafu hakuna mama😂Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.
Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).
Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo.
Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).
Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.
Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu
Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.
Kero kero zipo nyingi Sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.
Na analia Kwa nguvu kama kachomwa na.mkuki vile. Hapo mama ake.yupo nje.
Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia..
Nikasema hawa wanafanya huu ujinga Kwa sababu wananiona nimekaa kikristo Sana.
Basi Nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika.nje Hadi Kwa mama ake nikaanza kumchana mama.ake.
" Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi..qouma.la mm ak..
Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu..
It was a surprise for her Kwa sababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyo sikiaga naweka Ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu matayo.
Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena.
On top of that nimeanza kuwa napiga Kwa nguvu nyimbo za kigumu.
Ngoma kama Hit em up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu Jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi...
Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho.
Kama Una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.
Toto lako Kula kwangu halafu siku likipata Tatizo si ndio Mwanzo WA kushikana Uchawi Huo.
Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa
Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome.
Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense
# walayhi Nimeona umuhimu WA kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi Kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki gentleman Sana.
Safi kabisa,wanaume tumesifiwa sana akili na kutafakari mambo kwa kuangalia faida na hasara.Haina noma bro!! Ila jitahidi kuweka mbele rational decisions than emotions.
No wanajua Mimi sio type Yao Kuna Demu wangu WA kiarabu anakujaga kushinda kwangu kila weekend. Na wanajua ex wangu demu WA kizungu so wanajua Mimi sio type Yao kabisa.Mkuu ...duui...kumbe hujaoa! Pole hapokuna mtu anataka kumpindua huyo beki tatu...wakaona Kuna ombwe watoto 3 halafu hakuna mama😂
Ningekuwa na mke wasingeweza fanya hivyo. Hata wewe bro wako akioa Kuna mazoea lazima upunguze Kwa bro.
Ur a nice guy and I am not . A nice guy is after three things one of them is approval.Bro umefeli sana, nakuomba fuatilia komenti ujijue, inaelekea hujawahi kujijua madhaifu yako.
Yesu aliuliza "watu huni nena mimi ni nani?"
Alitaka kujua kuwa nje ya box watu wanamtamaje na kumuelewaje?
kuna jirani aliwahi nisumbua mpaka nikahama uswazi, yaani yeye daily kukicha familia yake anaisukumiza kwangu alafu nikirud jion nakuta mahtaj yamepungua akati niliacha pesa yakutosha, wife aliponambia huo ujinga nikamwambia kwa nini usimwambie mama yao eti anaogopa kero na jirani, kilichofuata nilimfuata nikamweleza yule mama...Wapuuzi Sana hawa jamaa