Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Moderator naomba hii comment muiweke Chini ya Uzi wangu kama the most best response to my thread

Ur the true son of Ur father. Wewe ndio umeelewa nilicho kiandika.
We acha ...Kuna siku nilikuwa nasafisha nyumba ...kulikuwa na deki ya VCD+=Fm Radio ilikuwa ndani imeharibika kidogo,nakumbuka nilinunua Mwaka 2003=60,000/=
Nikaona hii kitu nilipeleka kwa fundi ikamshinda ...kumbukumbu ya Nini acha niitupe .
Nikaona watoto wanaokota chupa ,nkawaambia wake waichukue !
Kumbe nilipoitoa nje Kuna nyoka aliingia ndani!
Kidogo mtoto wa watu ang'atwe!
Sijui ningejiteteaje ?
 
Write your reply...Waacheni watoto waje kwangu ila mambo alikuwa anaweza Yesu peke yake..... Mkuu we fanya hv kuna hzi pilipili wanaita mwendo kasi chukua km 3 hv halafu changanyia na vpande kadhaa vya nyama muandalie mtt usiyempenda akirudi tena huyo labda kuja kukusalimia tu! na roho mbaya yako itakuwa imetimia
 
Sasa kwanini huyo mtoto ajione ana haki kushinda watoto wako?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwa sababu she was entertained by the housegirl.

She made my children strangers in their own home. I was so hurt bro.


I want to have a relationship with my kids that I had with my father.

Watoto lazima wafurahie their childhood
 
hawatachelewa kukupa kesi za child violence

we lia lia hapa jf halaf ushindwe kufanya maamuzi huko nje

mi kuna maza mmoja single maza nilimla kimasikhara tu baada ya kutoka lindo usiku, basi ana katoto ka kike huwa nakanunulia lamba lamba mara kwa mara, kakanizoea

lakin huwez amini kakija kwangu huwa nakarudisha faster (nipo single na napenda kuwa ndani baada ya kutoka lindo kwa ajili ya mapumziko)

haka katoto kake huwa kanalilia mlangoni nje lakin huwa nagoma kasiingie, mazoea mwisho mlangoni

mjini hapa hawachelewi kukugeuza FURSA kwa kukupa kesi.

Ila ntaoa muda si mrefu..
 
😁😁😁😁😁
 
 
Na ww unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
nini maana ya mswahili?
 
Ur the true son of Ur father. Babu seya si ilikuwaga hivyo hivyo. Humu jf Kuna watu bado Wana akili za shule shule.


Point zao ni zile zile siku zote

1. Poor Leadership
2. Lack of infrastructure
3.etc.

They cant afford to think out of the box.

Acha wajifanye hamnazo mpaka siku yawakute

Mswahili anajpenda mwenyewe s/he doesn't give a damn about u or Ur children . Wewe kuwapenda penda watoto wake ataanza kuku doubt Una agenda gani ya Siri?

Mwisho WA siku utaonekana

1. Unataka kumtoa kafara

2. Unataka kumbaka.

Wacha wanione nna roho mbaya but najiepusha na mambo mengine
 
Jomba LIKUD,

Kama unaweka nyama kwa kuhesabu vipande, wewe kwako ni Uswahilini manake huko kwingine, wenzako wananunua nyuma kilo 2 na kuwapa mbwa wale!!!

Karibu Uswahilini jombaa!!
nini maana ya uswahilini?
 
man umechefukwa hahaha.kuna jamaa mmoja alisikika akisema NAPENDA SANA WATOTO LAKINI SIPENDI MAMBO YA KITOTO
 
Uswahilini shida sana unaweza ukawa upo zako geto unachek hata movie unashangaa mtaa mzima umesimama dirishani kwako
 
Watoto ni Malaika,Waacheni watoto waje kwangu.
 
Uswahilini shida sana unaweza ukawa upo zako geto unachek hata movie unashangaa mtaa mzima umesimama dirishani kwako
😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…