Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

True son LIKUD nahitaji beki tatu wako awe mamiloo wangu

naona umenipa like ila jibu hujanipa
 
Hahhaha umekimbia na nyumba kabisa si uwaambie tu ukweli
 
Nimeshangaa sana yaani katoto ka miaka minne kanakufanya ujute kiasi hicho,wewe mwenyewe hujaonyesha good judgement hata kidogo ukavurumusha na tusi.Tabia za watoto zinaeleweka sasa usipozichukulia kwa weledi unakosea
 
Wewe Ni mswahili++.
Nyama inahesabiwa? Hata wapare na wakinga walishaacha huo ujinga
 
Mkuu huyo demu wako wa kiarabu akija home hapo zinaiva fresh na huyo beki taraa?
 
Nimeshangaa sana yaani katoto ka miaka minne kanakufanya ujute kiasi hicho,wewe mwenyewe hujaonyesha good judgement hata kidogo ukavurumusha na tusi.Tabia za watoto zinaeleweka sasa usipozichukulia kwa weledi unakosea
Tabia za mtoto NI reflection ya tabia za mzazi. Mbona hao wangu Wana 3 and 5 years hawana tabia hizo na hawaendi Kula Kwa jirani?
 
Kawaida Tu Beki tatu mwenyewe kazaliwa 2007 bado mtoto
Poapoa mzee,endelea kupiga spana hao majirani waswahili na wanaosema wewe mchoyo wakaushie,waswahili sio watu
 
Kama point ni usalama wa mtoto basi naomba ni nullify yote niliyoongea hapo juu ila hukuwasilisha kwa mtazamo wa hoja ya usalama ndio maana tulishindwa kukuelewa tangu awali.
Hapa nimejiunza kitu. Asante
 
Wewe Ni mswahili++.
Nyama inahesabiwa? Hata wapare na wakinga walishaacha huo ujinga
Yes nawa control watoto wangu kwenye meat intake. Kuna kiwango cha white meat ambacho wanatakiwa kukitumia Kwa wiki na Kuna kiwango cha red meat ambacho hawatakiwi Ku exceed .

So yes I do it.

I am a concerned father. Wewe walishe watoto wako wa kiume kilo moja ya mchemsho kila siku halafu baada ya miaka.kadhaa uje kuomba ushauri nasaha Hapa jamvini
 
Acha kuhesabu vipande vya nyama kenge wewe.
 

upo sahihi,mi nakumbuka wakati nipo form 6 nilikua nasoma day school sasa jirani yetu kulikuwa na katoto fulani kapo darasa la kwanza ,kalikuwa kanapenda sana kuja kukaa na maza pale home ghafla nikajikuta tu namwambia maza awe anakarudisha kwao na kalikua kakija maza hayupo nakafukuzia mlangoni bila sababu tu,baada ya muda wa miezi kadhaa maza alimsikia mama yake kale katoto anakakanya kuja kwetu eti kisa kuna mtoto wa kiume (mimi) kwamba nitakabaka. hiyo kauli ilitusikitisha sana. nikawaza je ingetokea siku kamebakwa huko na mtu mwingine alafu mimi ningekua na mazoea nako si mama yake angeweza kusema ni mimi
 
Acha kuhesabu vipande vya nyama kenge wewe.
Wewe ndio kenge. Hujitambui. I am a diet sensitive daddy. Yes na control kiwango cha nyama wanacho takiwa Kula watoto wangu.

Kwa mujibu WA certified dietitians Kuna kiwango cha white meat intake and red meat intake ambacho watoto WA Kiume WA Kati ya umri WA MIAKA 2 mpaka 15 watakiwa kuzingatia, Kwa sababu za kiafya...

Wewe husomi vitabu

Fikra zako zimefungwa kwenye box ndio maana umewaza kwenye Kona ya ubahili badala ya kufikiria nje ya kona ya ubahili.

Nywele fupi, pua fupi, akili fupi
 
yaani unaonyesha kabisa wew ni mtu wa bara. waswahili ni wastaarabu na wakarimu hawawezi kumfanyia mtoto mdogo wa miaka mi 3 upuuzi huo. ilitakiwa umfundishe huyo mtoto jinsi ya kuishi na wenzie.
 
😁😁😁😁 Waswahili NI watu duni sana
 
yaani unaonyesha kabisa wew ni mtu wa bara. waswahili ni wastaarabu na wakarimu hawawezi kumfanyia mtoto mdogo wa miaka mi 3 upuuzi huo. ilitakiwa umfundishe huyo mtoto jinsi ya kuishi na wenzie.
Sawa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Waswahili NI watu duni sana

sana mkuu,alafu yule maza kuna siku akajidai ananitania kwamba nikaoe kale katoto nikamkata jicho hakurudia tena,yani unamwambia kijana wa form 6 akaoe katoto kako ka std 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…