Bora nimpe hela Lakini sio chakula. Kuwapa chakula hawakawii kukupakazia ulozi hawa. Waswahili ni watu wa hovyo sanaHonestly. Nimeelewa kinacho kukwwza sio chakula, sio ugeni, sio huyo mtoto. Kinacho kusumbua ni KUSUMBULIWA KWA WATOTO WAKO.
ni kawaida sana kwa single father kuwa hivi, upo na wazo la kujenga furaha kwa watoto wako. Una tafuta kwa ajili yao, unataka kwao pawe sehemu ya kufurahi na kujiachia. Ila nikwambie, ume over react bro.
Huyo uliemfanya hivi,ulichukulia Picha ya karibu tu na kumuona kama mtu mzima anaye jua anayo yafanya tena kwa mipango. Ila shida ipo kwa mama yake, malenzo hayo anayofanya, hajui yatakuja sumbua jamiii kesho maana huyo ni mzazi wa kesho.
Dawa ilikuwa ku deal na mamaye, KIVIPI? easy kabisa, akiwa anafanya varangati mtoto, usiangaike naye, muite mama yake kaaa naye chini aone Jinsi anavyo lea mtoto kwa choyo, yaani mtoto wake ana hali ya choyo, ukorofi na kujijali mwenyewe tu, KENGELE ITALIA MASIKION KWA HUYO MAMA,ATAANZA KUONA LA KUFANYA
pia ktk mazungumz hayo, mjuze kabisa. Nyie ni binadamu, lolote linaweza tokea popote, kwa wakati wowote. Mtot akiwa kwako,ktk hizo harakat akipata dharula, WATAKUELEWA KWELI?? ADONDOKE NA KUFA, AVUNJIKE, AU ALE KITU AMBACHO ANA ALLERGY NACHO, NA DHARULA NYINGINE ZA KIBIDANAM WATAKUELEWA??
Lakini pia, kwa kina dogo kuna njaa,mapochi pocho hawapati, ndo maana dogo anataka kula kama hakuna kesho.
Take it easy, Chukua baraka na point tatu za rohoni hapo. Ume over react, ila kama uchumi upo fresh, inaweza tokea tu siku. Ukinunua trei kadhaa za mayai, huyo maza mpe moja, kama sadaka tu. Mbona tunachoma hela sana tu.
Hela ndio nuksi sasa. Kama hujui.Bora nimpe hela Lakini sio chakula. Kuwapa chakula hawakawii kukupakazia ulozi hawa. Waswahili ni watu wa hovyo sana
Fanya mpango uoe mzee, sipendi tujadir Sana hili suala. Ni ushauri tu OA.!!Kupata watoto NI lazima uoe ?
Mkuu fanya mpango uweke ukuta wa fence, hii itasaidia kwa kiasi chake ....
Mimi kwangu kuna jirani yangu anachota maji kwangu kama yupo kwake na bill nalipa mimi kila mwisho wa mwezi lakini sina tatizo juu ya hilo naona fresh tuu,
Ni jirani yangu hivyo hata nikipata tatizo yeye atakua wa kwanza kunisaidia
Sio angesema tuu, ungekua unanyea debe segerea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]upo sahihi,mi nakumbuka wakati nipo form 6 nilikua nasoma day school sasa jirani yetu kulikuwa na katoto fulani kapo darasa la kwanza ,kalikuwa kanapenda sana kuja kukaa na maza pale home ghafla nikajikuta tu namwambia maza awe anakarudisha kwao na kalikua kakija maza hayupo nakafukuzia mlangoni bila sababu tu,baada ya muda wa miezi kadhaa maza alimsikia mama yake kale katoto anakakanya kuja kwetu eti kisa kuna mtoto wa kiume (mimi) kwamba nitakabaka. hiyo kauli ilitusikitisha sana. nikawaza je ingetokea siku kamebakwa huko na mtu mwingine alafu mimi ningekua na mazoea nako si mama yake angeweza kusema ni mimi
Aiseekuna jirani aliwahi nisumbua mpaka nikahama uswazi, yaani yeye daily kukicha familia yake anaisukumiza kwangu alafu nikirud jion nakuta mahtaj yamepungua akati niliacha pesa yakutosha, wife aliponambia huo ujinga nikamwambia kwa nini usimwambie mama yao eti anaogopa kero na jirani, kilichofuata nilimfuata nikamweleza yule mama...
baada yakumwambia akaanza visa kila siku mapaka dirishani na juu ya nyumba, ikanibidi nifanye mchakato wa kuhama uswaz.
Sio angesema tuu, ungekua unanyea debe segerea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
Hata hapa kwangu walisema watakua wanachota ndoo moja kwa siku lakini saev wanachota mpaka usiku wa maneno,kuna mzee alikua anaomba ndoo 5 za maji lakini kumbe nikiwa sipo anachota hata pipa zima,nikawa naona bill kubwa namwambia anakataa,kuna siku nikamfuma anachota maji mengi sana nikafunga gate tu
Hata hapa kwangu walisema watakua wanachota ndoo moja kwa siku lakini saev wanachota mpaka usiku wa maneno,
Mambo ya uswahilini acha tuu...
Nakumbuka kipindi hicho niko chalii home, jirani yetu anapika ugali then anampa bakuli mwanae afuate mboga nyumbani kwetu na Bimkubwa kiroho safi anatoa,
Jirani yetu mwingine siku moja amemtuma mtt wake aombe kibiriti nikampa kibiriti kizima asirudishe basi ilikua kesi kubwa kwamba nawaona wao maskini hivyo walitumia kuwashia wakarudisha[emoji28]
Mkuu acha tuuhahaha[emoji23]nimecheka sana,kwamba wakaona ni tusi kubwa sana,na ukiwanyima wanaweza kukuroga
Hii kawaida sana huku uswahiliniKuna Kaka MTU mzima siku moja alinihadithia kuwa anaibiwaga vijiko, alikuwa bachelor familia Iko Dar, sikuamini kama kuna dume linaweza leta Stori za vijiko, leo nimeamini wapo wengi.
Mkiambiwa viwanja huku Mvuti vinauzwa milioni 2 hamtaki, mnaishi sehemu ambazo hata gari na pikipiki hazipitiBaada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.
Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).
Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).
Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.
Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.
Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.
Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.
Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.
"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.
It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.
Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.
Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.
Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.
Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa
Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense
#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Naendelea kusema na kusisitiza hvi.......hii Tabia ya kimasikini na kinyongenyonge ya kuita nyumba kibanda na inanikera........shenzy typeBaada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.