Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
Watoto wakijadiliana mambo ya kikubwa
Pikipik haipiti?Mkiambiwa viwanja huku Mvuti vinauzwa milioni 2 hamtaki, mnaishi sehemu ambazo hata gari na pikipiki hazipiti
Bampa2BampaPikipik haipiti?
Oa Jimama hiloNimejenga Kerege jirani yangu Jimama la Kikwere, nimelitia siku moja Basi anapiga taarabu za kumdhihaki wife. Inshort wife namuona Kama mavvi tu.
Jinsi unavyo flow, inaonyesha hata wewe mwenyewe kidogo ipo tope kidogo kichwani.Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.
Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).
Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).
Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.
Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.
Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.
Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.
Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.
"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.
It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.
Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.
Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.
Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.
Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa
Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense
#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Najiamini maana nawapa kile tunachokula kwa hio wakifa na Sisi hatutabaki.Ngoja siku moja waje wale kwako halafu waende wakafe.
Na utoto pia.Huyu mtoa mada anatuaibisha sana Wanaume. Hizi ni tabia za kike sana anazo zifanya.
Unamuona wife wako kama??Nimejenga Kerege jirani yangu Jimama la Kikwere, nimelitia siku moja Basi anapiga taarabu za kumdhihaki wife. Inshort wife namuona Kama mavvi tu.
Na stress unazo pia Likud...Hujaelewa mkuu sipigi vijembe. Nasikiliza muziki mgumu ili wajue Mimi ni MTU WA Aina gani. Unajua Aina ya muziki unao usikiliza unaweza kukutambulisha wewe NI MTU WA Aina gani. Mwanaume ukiwa unasikiliza taarabu watu wata amini wewe NI shoga. Ukiwa unasikiliza blues utaonekana romantic. Gospel Mtakatifu Mathayo na Hip-hop mhuni msela. Mimi ninacho kifanya nasikiliza Ngoma ngumu za hip hop Kwa Sana ili wajue Mimi mhuni. Mwanzoni nilikuwa nasikiliza Sana gospel so wakawa wananiona sijui Emmanuel Mbasha.
Wanaume wenzangu jamani mada gani hizi???? Yani tumefikia hapa!??? DaaaahBaada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.
Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).
Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).
Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.
Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.
Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.
Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.
Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.
"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.
It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.
Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.
Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.
Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.
Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa
Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense
#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Very true. Tena ukiondoka anakuja na huyo mwanaeja kula Hapo Hapo kwako. Anacheza na saikolojia ya Housegirl. Beki 3 akizubaa angongwa chumbani kwakoMswahili hapiki akijua mtoto atakula kwa jirani bila aibu