Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.

Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
Umri huo huna mke ? Pole sana Kama katangulia mbele ya haki. Ila nitakushangaa Kama umeshindwa kuishi na binadamu mwenzio mtu mzima
 
dawa ndogo tu ukimuwasha kiboko basi haji tena mtakwaruzana na mama yake lakini mwisho wa siku wanajitenga na kujielewa

lakini pia unaweza ukafanya kama kumuinclude katika familia na ukamuongoza kwa njia na kanuni zako watoto huwa wanaelewa sana endapo akiwa anayosababu yakumfanya aweze kubadirika,
maana mtoto huwa haelewi ila majungu yeye anaangalia matamanio ya nafsi yake tu,
Ila ukimfanya kama family friend hata mda wakula mnaenda kumuita basi nirahisi kumbadirisha na kumfanya awe mtoto mwema, kuliko kutumia njia na kanuni za kumtenga,

kuna faida kubwa sana ukiweza kulifanya hili hata ukimuadhibu wazazi wake hawawezi kuingilia sababu unakuwa unanguvu kuzidi wao juu ya mwanao,
kuna lakujifunza pia kwako hapa namna ya kumaliza migogoro midogo midogo maana hii ni migogoro ipo kila siku sio la siku moja na kanuni unayoitumia sio rafiki kabisa kuweza kumaliza tatzo kama hili
so just try kusolve kama mzazi itakuwa ni njema sana
 
Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.

Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).

Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).

Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.

Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.

Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.

Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.

Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.

"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.

It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.

Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.

Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.

Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.

Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa

Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense

#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.

Hahaha Yan watoto wote hao kumbe haujaoa
 
Nimejenga Kerege jirani yangu Jimama la Kikwere, nimelitia siku moja Basi anapiga taarabu za kumdhihaki wife. Inshort wife "Mchaga", limejinenepea, hajui kukata uno, namuona Kama mavvi tu.
Haaaaa nimecheka kwa sauti kubwa
 
Umri huo huna mke ? Pole sana Kama katangulia mbele ya haki. Ila nitakushangaa Kama umeshindwa kuishi na binadamu mwenzio mtu mzima
Acha hizo bro. Yanini kununua ngombe mzima wakati nikitaka nyama buchani napata.
 
Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.

Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).

Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).

Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.

Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.

Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.

Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.

Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.

"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.

It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.

Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.

Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.

Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.

Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa

Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense

#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Umetisha sana mkuu[emoji3][emoji3][emoji91][emoji91]
 
Ha ha maisha ya uswazi...niliapa nikiwa kwangu mambo yakiwa poa kamwe sitaishi, unawezavunja mtoto wa mtu mguu...
 
Nimejenga Kerege jirani yangu Jimama la Kikwere, nimelitia siku moja Basi anapiga taarabu za kumdhihaki wife. Inshort wife "Mchaga", limejinenepea, hajui kukata uno, namuona Kama mavvi tu.

Dah [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Hahahahahahah Mkuu umekimbia chumba kwa ajili ya dogo? Rudi nyumbani Mkuu dogo anakusubiri mkaangalie katuni pamoja. 🤣🤣

Mjukuu wa mwenye nyumba. 2 yrs old. Mimi naangalia sana katuni. First time nashangaa dogo huyo, nikamuuliza wewe nani akawa anataja jina ila simuelewi nikamtoa nje babu yake ndiyo akamtaja jina.

Naongea na babu yake yeye kasharudi ndani kwangu.

Sikuona tatizo. Balaa likaja kulilia remote, ukitaka kutoka anakuzuia, babu yake anasema niache funguo kwamba akimaliza kuangalia wafunge wanishikie funguo.

Nimelala nasikia hodi ya kugonga mlango kwa nguvu nafungua ni yeye, kaingia kafikia kujilaza kwenye kochi anasubiri tv. Namuambia mi nalala rudi baadaye ananijibu "Sitaki" hii wiki ya pili sijarudi nyumbani.
 
[emoji23]sasa hivi nisinge enjoy kuchat humu JF,kuishi na binadamu yahitaji tahadhari kubwa sana,wakati nipo mdogo maza angu alinisimulia kuna mzee alifatwa na jirani yake kuombwa panadol ,mzee wa watu akamsaidia panadol jirani ambaye alikua anaumwa,usiku jirani akazidiwa na kufariki,kesho yake taarifa ikatapakaa mtaani yule mzee kamuua jirani yake
Duu! Ni noma aisee.!!
 
Muziki NI vibe. Hata Bibi yangu wa kule kijijini kwetu Isunga Chupi akisikia Hit Em Up hata Kama hajui maneno, beat na tune ya Sauti atajua
tu alll is not all.

Hit em up inakimbiza Hadi mapepo wachafu FYI.

Hilo gereza la kushindwa kufanya maamuzi yenye manufaa yangu kwa kuogopa kusemwa " mtoto wa kiume hafanyagi hivyo" nimeshafunguliwa muda mrefu sana.
unaongea utoto
 
Duuh!
Acha ubahili huyo mtoto ni malaika
mwache ale nyama
yaani nyama inakutoa utu kwa mtoto mdogo mpaka unamtengezea forum post ^ /%$£@#?
 
[emoji23]sasa hivi nisinge enjoy kuchat humu JF,kuishi na binadamu yahitaji tahadhari kubwa sana,wakati nipo mdogo maza angu alinisimulia kuna mzee alifatwa na jirani yake kuombwa panadol ,mzee wa watu akamsaidia panadol jirani ambaye alikua anaumwa,usiku jirani akazidiwa na kufariki,kesho yake taarifa ikatapakaa mtaani yule mzee kamuua jirani yake
Aisee
 
Baada ya kujibanabana hatimae nikajenga kibanda changu uswahilini.

Jirani yangu ana mpangaji wake. Huyo mpangaji wake ana mtoto mdogo (4yrs). Mimi nina watoto watatu mmoja la Saba wa kike wawili wakiume (5) and (3).

Sio kwamba Mimi ni mchoyo na mbinafsi, la hasha! Ila hakuna kitu nakichukia katika maisha yangu kama vikwazo. Hii familia ya huyu mtoto mdogo inashindwa kumdhibiti mtoto wao wa kike (4yrs).

Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje.

Siku nyingine anatoka huko kwao anakuja kunywa maji kwangu. Akiwa anakula na wanangu wakitaka kunywa maji analia anataka yeye ndio awe wa kwanza kunywa.

Kero kero zipo nyingi sana. Mimi nilikuwa sina habari hizo cause sishindi home. Last week nimerudi home mapema nakuta madogo ndio wametoka shule halafu eti huyo mtoto analia hataki wao wale chakula walicho andaliwa na dada kazi kwamba kidogo apewe yeye tu.

Na analia kwa nguvu kama kachomwa na mkuki vile. Hapo mama ake yupo nje. Huwa naambiwaga upuuzi huu but sikuwahi kushuhudia. Nikasema hawa wanafanya huu ujinga kwasababu wananiona nimekaa Kikristo sana.

Basi nilimchukua huyo mtoto nikamnyanganya hiyo plate nikamshika nje hadi kwa mama ake nikaanza kumchana mama ake.

"Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. Kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi.." Kuanzia leo sitaki kumuona mtoto wako nyumbani kwangu.

It was a surprise for her kwasababu nadhani alikuwa ananiona nimekaa kisomi kisomi na anavyosikiaga naweka ngoma za gospel kwangu basi anajua huyo Mtakatifu Matayo.

Basi kuanzia siku hiyo adabu imekuwepo. Mazoea hakuna tena. On top of that nimeanza kuwa napiga kwa nguvu nyimbo za kigumu.

Ngoma kama Hit 'Em Up na nyimbo nyingine za kigumu gumu ili at least wajue huyu jamaa msela hataki mambo ya kidwanzi.

Majirani kushirikiana kwenye mambo mengine sio kukerana kerana kiasi hicho. Kama una njaa njoo ukope hela umpikie mtoto wako sio kumuacha aje awakere watoto wangu.

Toto lako kula kwangu halafu siku likipata tatizo si ndio mwanzo wa kushikana uchawi huo. Sisi ngozi chafu huwaga sio wastaarabu kabisa

Ngoja nitafute hela nipige Mwanaukome. Ndio maana matajiri wakijenga nyumba zao huwa wanazipiga stop nonsense

#Walayhi nimeona umuhimu wa kuoa. Ukiwa na mke majirani hawawezi kufanya upuuzi kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba Hawezi kukubali. Ila wakiwa wanakuona kibachela bachela hivyo wanakuchukulia ki-gentleman sana.
Hit em up hahaha ha.
 
Waswazi wengi ni shida . Mitoto inaweza ingia kwenye daladala inapewa hata na misosi na stranger inabugia .haya yanaanzia kwenye malezi.kajibemende hata utie smile kwa toto la washua kama hakujui hawezi smile back
 
Back
Top Bottom