Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

sana mkuu,alafu yule maza kuna siku akajidai ananitania kwamba nikaoe kale katoto nikamkata jicho hakurudia tena,yani unamwambia kijana wa form 6 akaoe katoto kako ka std 1
😁😁😁
 
Honestly. Nimeelewa kinacho kukwwza sio chakula, sio ugeni, sio huyo mtoto. Kinacho kusumbua ni KUSUMBULIWA KWA WATOTO WAKO.
ni kawaida sana kwa single father kuwa hivi, upo na wazo la kujenga furaha kwa watoto wako. Una tafuta kwa ajili yao, unataka kwao pawe sehemu ya kufurahi na kujiachia. Ila nikwambie, ume over react bro.

Huyo uliemfanya hivi,ulichukulia Picha ya karibu tu na kumuona kama mtu mzima anaye jua anayo yafanya tena kwa mipango. Ila shida ipo kwa mama yake, malenzo hayo anayofanya, hajui yatakuja sumbua jamiii kesho maana huyo ni mzazi wa kesho.

Dawa ilikuwa ku deal na mamaye, KIVIPI? easy kabisa, akiwa anafanya varangati mtoto, usiangaike naye, muite mama yake kaaa naye chini aone Jinsi anavyo lea mtoto kwa choyo, yaani mtoto wake ana hali ya choyo, ukorofi na kujijali mwenyewe tu, KENGELE ITALIA MASIKION KWA HUYO MAMA,ATAANZA KUONA LA KUFANYA

pia ktk mazungumz hayo, mjuze kabisa. Nyie ni binadamu, lolote linaweza tokea popote, kwa wakati wowote. Mtot akiwa kwako,ktk hizo harakat akipata dharula, WATAKUELEWA KWELI?? ADONDOKE NA KUFA, AVUNJIKE, AU ALE KITU AMBACHO ANA ALLERGY NACHO, NA DHARULA NYINGINE ZA KIBIDANAM WATAKUELEWA??

Lakini pia, kwa kina dogo kuna njaa,mapochi pocho hawapati, ndo maana dogo anataka kula kama hakuna kesho.

Take it easy, Chukua baraka na point tatu za rohoni hapo. Ume over react, ila kama uchumi upo fresh, inaweza tokea tu siku. Ukinunua trei kadhaa za mayai, huyo maza mpe moja, kama sadaka tu. Mbona tunachoma hela sana tu.
 
Bora nimpe hela Lakini sio chakula. Kuwapa chakula hawakawii kukupakazia ulozi hawa. Waswahili ni watu wa hovyo sana
 
Mkuu fanya mpango uweke ukuta wa fence, hii itasaidia kwa kiasi chake ....
Mimi kwangu kuna jirani yangu anachota maji kwangu kama yupo kwake na bill nalipa mimi kila mwisho wa mwezi lakini sina tatizo juu ya hilo naona fresh tuu,
Ni jirani yangu hivyo hata nikipata tatizo yeye atakua wa kwanza kunisaidia
 
Your browser is not able to display this video.
 

kuna mzee alikua anaomba ndoo 5 za maji lakini kumbe nikiwa sipo anachota hata pipa zima,nikawa naona bill kubwa namwambia anakataa,kuna siku nikamfuma anachota maji mengi sana nikafunga gate tu
 
Sio angesema tuu, ungekua unanyea debe segerea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Aisee
 
Sio angesema tuu, ungekua unanyea debe segerea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]

[emoji23]sasa hivi nisinge enjoy kuchat humu JF,kuishi na binadamu yahitaji tahadhari kubwa sana,wakati nipo mdogo maza angu alinisimulia kuna mzee alifatwa na jirani yake kuombwa panadol ,mzee wa watu akamsaidia panadol jirani ambaye alikua anaumwa,usiku jirani akazidiwa na kufariki,kesho yake taarifa ikatapakaa mtaani yule mzee kamuua jirani yake
 
kuna mzee alikua anaomba ndoo 5 za maji lakini kumbe nikiwa sipo anachota hata pipa zima,nikawa naona bill kubwa namwambia anakataa,kuna siku nikamfuma anachota maji mengi sana nikafunga gate tu
Hata hapa kwangu walisema watakua wanachota ndoo moja kwa siku lakini saev wanachota mpaka usiku wa maneno,
Mambo ya uswahilini acha tuu...
Nakumbuka kipindi hicho niko chalii home, jirani yetu anapika ugali then anampa bakuli mwanae afuate mboga nyumbani kwetu na Bimkubwa kiroho safi anatoa,
Jirani yetu mwingine siku moja amemtuma mtt wake aombe kibiriti nikampa kibiriti kizima asirudishe basi ilikua kesi kubwa kwamba nawaona wao maskini hivyo walitumia kuwashia wakarudisha[emoji28]
 
Uzi unafundisha huu. Naunga mkono hoja zoootee za mleta mada
 

hahaha[emoji23]nimecheka sana,kwamba wakaona ni tusi kubwa sana,na ukiwanyima wanaweza kukuroga
 
Kuna Kaka MTU mzima siku moja alinihadithia kuwa anaibiwaga vijiko, alikuwa bachelor familia Iko Dar, sikuamini kama kuna dume linaweza leta Stori za vijiko, leo nimeamini wapo wengi.
 
Kuna Kaka MTU mzima siku moja alinihadithia kuwa anaibiwaga vijiko, alikuwa bachelor familia Iko Dar, sikuamini kama kuna dume linaweza leta Stori za vijiko, leo nimeamini wapo wengi.
Hii kawaida sana huku uswahilini
 
Badala ya kumshukuru Mungu amekujaalia kujenga nyumba lakin wew usiye na shukran unaiita KIBANDA.. na mwenye KIBANDA aite kichaka..

Calm down msubiri uyo mtoto akue ataacha tu
 
Mkiambiwa viwanja huku Mvuti vinauzwa milioni 2 hamtaki, mnaishi sehemu ambazo hata gari na pikipiki hazipiti
 
Naendelea kusema na kusisitiza hvi.......hii Tabia ya kimasikini na kinyongenyonge ya kuita nyumba kibanda na inanikera........shenzy type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…