Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Mkuu umenifanya nicheke...Kwa Mimi ninaeishi uswahilini watoto wao waje hata watano wale wafanye chochote sijali,,ila wanangu ndio sitaki waende kwao na wanajua.
Ngoja siku moja waje wale kwako halafu waende wakafe.
 
Jinsi unavyo flow, inaonyesha hata wewe mwenyewe kidogo ipo tope kidogo kichwani.
Ukitaka niulize, "tope i wapi?"
 
Na stress unazo pia Likud...
 
Wanaume wenzangu jamani mada gani hizi???? Yani tumefikia hapa!??? Daaaah
Aisee nachoka kabisa kweli jamii forum msiishushe hadhi kiasi hiki wazeee
Anyway naishia hapo
 
Yani nimechoka kabisa kwa mada kama hizi yani mnaushusha hadhi hiki jukwaa wazee !??
Kwangu mm hiyo ni baraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…