Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

Ndio ajira uliokua unatafuta usitumike kifala na ww patiapo mtaji
 
Hahaha jamaa unaharibu sasa, wamama wengine watakuwa hawatoi uterezi kwa kuhofia type kama yako!!!!
 
Subiri jibaba lake lijue
 
Bwana mdogo everything comes at a cost. Omba Mungu akuepushe na majuto ww bado ni mdogo ungeweza kupambana tu na maisha kivyako.
Mtaani mgumu braza, kama ulitoboa kipindi cha jk kurudi nyuma basi ni hali tofauti kabisa na sasa hivi. Ingawa si-support njia aliyochagua jamaa ila naelewa situation aliyopo maana na mimi pia mwaka wa 6 sasa hivi tangu nimalize chuo sijawahi kupata kazi
 
Nime connect dots hadi nimempata. Halafu mbona ni mdada tuu? Au kisa lile umbo plus umri wako! Ila daah...huwezi mdhania mtu kwa muonekano wake
 
Thank you for the gift you have. You are a wise man of God
 
Ndio ajira uliyochagua, hakikisha inakulipa. Unanunua kiwanja, ujenge
 
Mbona vijana wanalaumiwa sana wakati wakulaumiwa ni wazee wetu waliokuwa myopic toka huko nyuma.
Tusiwasingizie vijana kwa ujinga wa wazee wetu, nao wabebeshwe lawama
 
Huu utoto wa kulalana na mtu halafu unakuja kumtangaza JF hadi kutaja na sehemu anayofanyia kazi Amin Amin nawaambia ipo siku atakuja kuuwawa mtu. Nyie oneni sifa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tajiri wa mbususu 🀣🀣🀣
 
Nilifikiri miaka 29 ni mwanaume mwenye akili timamu Sana, ni kiongozi. Kumbe daaah!
So tukusaidieje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…